Happy Holidays 2008-09...

My fellow JF Members

I am donating to Msimbazi Orphanage the vijisenti that would otherwise be spent on purchasing and mailing holiday cards. This year especially every vijisenti given to the orphanage will help those less fortunate than ourselves.

So I ask that you please accept this message in lieu of a card !

Season's Greetings and my Best Wishes to you and your families for the upcoming year !

QM
 
Happy Holidays everyone...Invisible kwani kulikuwa hakuna santa mweusi? lol!
 
Wakulu wote JF, Kritsmas njema kwa wote na familia zenu sasa ngoja tukampigie Muumba magoti, halafu tutarudi kuendelea kukata ishus za taifa kama kawaida.

- Amani iwe nanyi kwenu wote ndugu zangu na baraka za Muumba ziwakute wote.

Thanxs!
 
xp.jpg
"HAPPY NEW YEAR 2009."

"TO ALL MEMBER AND NON-MEMBER OF JF."

Thanks You For All Your Wonderful Articles In 2008.

Hope To Receive A Lot More In 2009!

New Year Is The Time To Unfold New Horizons And Realize New Dreams,
To Rediscover The Strength & Faith Within You,
To Rejoice In Simple Pleasures & Gear Up For A New Challenges.

Like Birds, Let Us, Leave Behind What We Don't Need To Carry...


GRUDGES, SADNESS, PAIN, HATE, FEAR AND REGRETS...

Let's Love Each Other

Life Is Short And Beautiful, Enjoy It.

MAY ALLAH BLESS YOU ALL.

HAPPY NEW YEAR.
 

Attachments

  • HAPPY_NEW_xp.gif
    HAPPY_NEW_xp.gif
    75.7 KB · Views: 55
Happy New Year to you X Paster and to all members of this forum.may 2009 bring love and peace to our world.
 
Ni kweli, ila Mkuu rangi za sikukuu ya Eid ni nini tena? ni vyema ukatuambia mapema ili siku wakibadilisha tujue mapambo ya Eid tusianze kushangaa, au nayo yatakuwa (ya kipagani?)

X-Paster rangi ya Eid na mapambo ya Eid (dedicated)ni nini mpendwa wangu?

mbarkiwe

Aslm’Alykm,
Nashukuru ndugu yangu kwa swali lako… ni matumaini kuwa ukuliuliza kiushabiki… Basi napenda kukufahamisha kuwa Waislam hatuna hayo mambo ya kusheherekea mwaka mpya wala hatuna hayo marangi katika sikukuu zetu…

Kusheherekea Mwaka Mpya Na Siku Ya Kuzaliwa (Birthday)
Muislam anapopitisha miaka yake hana maana kuwa ana furaha bali ahesabu kuwa siku zake zinazidi kupungua na kukaribia kuingia kaburini, kwa hiyo iwe ni masikitiko na sio furaha khaswa kwa yule ambaye hakujishughulisha kufanya mema mengi. Miaka itakuwa ni ya kufaulu pindi ikiwa siku zimetumika kwa twaa ya Allah (Subhaanahu wa Ta'ala) na itakuwa ni ya huzuni ikiwa miaka hiyo itatumika kwa maasi.

Binadam huweka azimio (resolution) yaani kuweka lengo au malengo atakayoyafanya katika mwaka huo mpya, nayo yote ni mambo ya kidunia, lakini Muislm khaswa haweki lengo lake au malengo yake kila mwaka tu, bali aweka kila siku, na juu ya hivyo sio lengo au malengo ya kidunia bali ni malengo ya kujirekebisha kuwa bora kuliko siku iliyopita. Siku zinatupita, masaa yanatupita na hali za Waislam wengi hazibadiliki kuwa bora kwa wao kujiweka mbali na Mola wao.

Tunamuomba Allaah Atujaalie miongoni mwa wanaosikiliza kauli nyingi na kufuata zilizo njema.

For those who are Believers.
"Ikiwa mtu atakupa hongera au kukuamkia, basi muitikie lakini usianzishe wewe kufanya hivyo. Na rai iliyo bora kabisa katika mas-ala haya ni kwamba mtu atakapokuambia: 'Hongera ya mwaka mpya' basi sema: 'Tunamuomba Allah aufanye uwe mwaka wa kheri na baraka kwako'. Lakini usianzishe abadan wewe kwa sababu Hakuna mapokezi yoyote kwamba Salafus-Swaalih (watangu wema) walikuwa wakiamkiana au kupeana hongera katika mwaka mpya wa Hijrah" au mwaka wowote ule.


Fii’Amanllah
 
Where we Dare Talk Openly
I who dare talk openly, hereby and openly dare talk openly and daringly on all matters pertaining to our social, political and economical issues daringly and openly available to us.

It is such an honor and privileged to be an openly and daringly member of JF Ville-Aluta Continua.
Therefore I hereby, daringly and openly declare 2008 a success for JF Ville and Danganyika Ville as a Whole.

Hence, openly and daringly shall, not hesitate to satirically, tellingly and openly- for satirical reason write any member and non-member in Kula Breki!!!

Happy New Year!!!
 
Heri ya dhambi na matatizo nimerudi salama wanaJF nikiwa na mataswira ya viguo vya dada zetu nashindwa kulala full mfadhaiko nalia taabu sana.Miezi 6 ijayo sijui watavaa nini.

Anyway nasubiri mwaka mpya macho hayana pazia......inapendeza kuangalia......
 
Ninafikiri tumeone mengi ya mwaka 2008 na sasa tunatarajia kuuona mwaka 2009 kwa mbwembwe nyingi. Mimi binafsi nimekerwa na hali ya nchi hasa ufisadi uliokidhiri na kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri. Walioifilisi nchi (Mafisadi) na wana EPA kesi zao zinaunguruma mahakamani. Ni imani yangu kuwa hali kama hii ikiendelea ya kutokuoneana aibu tunaweza tukapunguza hali ya ufisadi na rushwa nchini.

Sisi wanajamii forum lengo letu na wajibu wetu uwe ni kuishauri serikali pale inapoenda kinyume na matakwa ya nchi. Tutoe mawazo yetu nini cha kufanya ili tufike mwisho mwema.

Ninawatakia mwaka mpya mwema 2009 wenye matumaini. Tuiombee nchi amani bila kusahau mauaji ya wenzetu maalbino wanaouawa bila makosa.
 
Invicible/mwanakijiji na wakuu wengineo

Ningependekeza kuwepo na kitabu ambacho kinaonyesha compilation ya mambo yote yaliyojadiliwa; kila topic has zile hot zinakuwa tu na sehemu y ake; zile ambazo bado zinaendelea zitaendelea ktk kitabu cha 2009. Hii ni kuweka sawa kumbu kumbu zote za Jamii Forum. Na hii itawawezesha wasio weza kuingia hapa kuona watu huku wanafanya nini; ni maoni tu maana pia huenda ikahitaji muda sana na nini; sijui atleast tuwe na kitu cha mwaka which will be ditributed per year; per month eventually we may come down to per week if God wishes. Hope my idea will be considered though i know may be very involving and time consuming to extent impossible; but trying the hard way is good
 
Back
Top Bottom