Lonely so lonely.... nitakuwa nikiomba jioni ifike haraka nikaangalie mpira
twin!!! happy fridayna wewe pia mamito
Mimi nishapanda kwa bed kweli friday iko poa. Huku Arachuga wameanza chinjachinja kitaani basi wacha niifiche shingo yangu mapema..... Happy friday people.
a a....wapi hiyo......?
ooh...pole sana.......mimi hapa namngoja sukari wangu wa moyo anipick twende kusubiria sensa.......aaah....am happy bunny tho..........
asante! am happy to be back in the office, usha hesabiwa?
a a....wapi hiyo......?[/QUOT
mitaa ya chekereni huko mama ukitembea usiku ficha shingo yako mbali.