Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Senkyu FL1, weli notedi.tutajitahidi kuyazingatia hayo uliyoyasema. Hepi Frii dei tu yu ol greti thinkaz
 
Baada ya Friday mie huwa napumua maana hata ukiangalia kalenda baada ya monday na tuesday imeandikwa WTF..........
 
Huyu mkoloni wangu vipi anajifanya leo ndiyo yuko busy na mimi sijui hajaona siku nyingine kwenye wiki yeye anaamua leo ndio awe busy na mimi
 
halaf kaiza cijui umekuwaje ciku iz

ile makitu bado natembea nayo kwenye tukutuku unajua....?!
 
hahaha kama ulikuwa umesahau lazima kuna tatizo
Beer_poured.gif
hangover or?

Nilikuwa sijasahau, ila akukumbushaye akutakia heri...kwa mara nyingine:clap2::clap2::clap2:
 
Asante, but NO THANKS hii Ijumaaa imenikalia vibaya kabisa.......daaaaamn

TGIF anyways

Kuna mtu kanionea Smiles?:coffee:

sasa wewe Smiles unaanza kumtafuta weekend nadhani ana appointment tayari

habari zenu wajameni...

mi si n'kajua jana ijumaa bana....

nilijitundikiaje madrip sasa......!we!we!

:sick::sick::sick: pole
Ha ha ha hawa nawaogopa bana IGWEEEEE,MY SISTO OFUNEKKA ABEGGO PAPA HAS NO MONI IS IN LAGOS

hahaha abeg abeg yooooo Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom