Happy Father's Day

Happy father's day to all JF babas(aisiii hii hai sound vizuri kama mamas lol).
Smiles and hugs to you on Father's day!
 
Happy father's day to all JF babas(aisiii hii hai sound vizuri kama mamas lol).
Smiles and hugs to you on Father's day!
Unyanyasaji wa kijinsia huo aka mfumo jike
 
Happy father's day to all JF babas(aisiii hii hai sound vizuri kama mamas lol).
Smiles and hugs to you on Father's day!

Miwivu imekujaa wewe.

Leo ni siku yetu bana. Ni biya minyama biya na kuchelewa kurudi nyumbani.

Wababa hoyeeeeeeeee!
 
Miwivu imekujaa wewe.

Leo ni siku yetu bana. Ni biya minyama biya na kuchelewa kurudi nyumbani.

Wababa hoyeeeeeeeee!

We babu umetokea wapi aisee....

Hii ni siku ya akina Baba na sio Babu

Pliz tupishe, kacheze na wajukuu zako
 
We babu umetokea wapi aisee....

Hii ni siku ya akina Baba na sio Babu

Pliz tupishe, kacheze na wajukuu zako

Ushasahau babu ni baba wa baba yako? Kwa kifupi leo ni siku maalum kwa mababu zaidi. Haya mwambie Yummy akam dhis wei ampetipeti babu ake...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom