Happy bithday Afrodenzi

Kwahiyo huenda hii ikawa sio :twitch:, mi nilidhani wale tu waliozaliwa 29th february ndio wanakuwa wanabirthday after every four years..., kumbe kuna wengine wanaweza wakapata twice a year:thinking:

tumpongeze tu lkn bday yake inahitaji utafiti,,
 
Hahaha labda kazaliwa mara ya pili! Born again!

Kweli akili ni nywele,kila mmoja ana zake
Kweli akili upele,huwa muwasho wake
kweli akili kengele,hugonga kila saa zake
Si mageni yako tele,hupita kwa njia zake.
Kweli kikulacho kinguoni mwake................
 
Kweli akili ni nywele,kila mmoja ana zake
Kweli akili upele,huwa muwasho wake
kweli akili kengele,hugonga kila saa zake
Si mageni yako tele,hupita kwa njia zake.
Kweli kikulacho kinguoni mwake................
Dah JF bana full masuprise! Ngoja nirudi zangu counter ya juu!
 
Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.
Happy Birthday Afrodenz with love&Blessings from God.
 
Duuhh jamani samahani sana
BIRTHDAY yangu ni tarehe 22.11

ni makosa yangu tu jana niliandika vibaya kwenye
calenda lakini invisible at iondoa muda si mrefu samahani sana
wapendwa..
naomba mnisamehebure..
duuuhhhh haya mambo ya Friday night ..
 
Duuhh jamani samahani sana
BIRTHDAY yangu ni tarehe 22.11

ni makosa yangu tu jana niliandika vibaya kwenye
calenda lakini invisible at iondoa muda si mrefu samahani sana
wapendwa..
naomba mnisamehebure..
duuuhhhh haya mambo ya Friday night ..

The LONG ISLAND ICE TEA COCKTAIL is still working darling???
 
Mimi navyojua ni Dec sasa hii ya Dec ni yapi tena wandugu?? Mie Ddada mtu sijui Dahhh IMENIUMA KULIKOA SINDANO YA KRITAPENI. Afro ni PM Tumalizane vinginevyo........................................................................
 
Weye M.Shosti jana umemuua Madiba leo umeibua Birthday feki hebu kaza buti au ndio yale aliosema Msandawe halisi kuwa watu wa Kwamtoro,Kondoa ni wazua uwongo ?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom