Happy Birthday Young Master

samahani kwa kuchelewa lakini
default.jpg

Hujachelewa stevoh mtoto ndio kwanza ana siku moja leo......hiyo zawadi yako hebu mpe Blaki Womani afu wewe njoo huku ujichukulie kinywaji upendacho!
 
Last edited by a moderator:
Khaaa......huyu mwaJ nae amezidi kudandia kazi siyo yake .....yeye aliambiwa kazi yake kupika uji wa mtoto manake Kongosho hajulikani alipo.....hiyo ya pampasi alipewa Catherine!

Wifi futa au kanusha kauli yako kuwa mie mroho......fanya upesi kabla sijaomba mwongozo lol!:A S cry:

hahahaah my wifi labda uje na kitenge cha wax ....... Catherine ajitambue kwa ulabu alipewe jukumu la kusafisha stoo ya vinywaji
 
Last edited by a moderator:
hahahaah my wifi labda uje na kitenge cha wax ....... Catherine ajitambue kwa ulabu alipewe jukumu la kusafisha stoo ya vinywaji

Hahahahaha sidanganyiki lol.....wax ntaileta kwenye ile mbesii yako.....na ni nani huyo aliyempa mlevi kazi ya kusafisha stoo ya vinywaji?.....hiyo kazi ilikuwa ya Remmy.....kwanza yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha sidanganyiki lol.....wax ntaileta kwenye ile mbesii yako.....na ni nani huyo aliyempa mlevi kazi ya kusafisha stoo ya vinywaji?.....hiyo kazi ilikuwa ya Remmy.....kwanza yuko wapi?

anamsaidia Erickb52 kuanua mapambo naangalia kwa jicho la 3 hapo sijaelewa kitakachojiri baada ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Kwani ulikuwa wapi wakati PakaJimmy anamvalisha Remmy pete ya uchumba?......afu huyo Erickb52 si nasikia kaopolewa na Preta???.....vigelegele utanipigia mimi manake nakaribia kubariki ndoa yangu na Vin Diesel
Aisee,
Naomba nisaidiesaidie bana...maana ni kweli nilimvalisha lakini bado simuelewielewi, mara anataka, mara hataki!...Inaonyesha bado ana mahusiano ya siri Erickb52!...naomba Preta asisome hapa, maana akijua ukweli huu huenda Jumamosi ya ndoa akamkataa huyu jamaa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha my wii haka nimekashonea kwa fundi mmoja pake maeneo ya soko kuu.....nipitie baadae nikupeleke

khaaa nitakuwa jirani hapo Rushda S unipeleke usisahau kuja na kile kitenge kabisa kishonwe kwa ajili ya mpunga wa mbesi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom