Happy Birthday Yegomasika....

Yes, ukumbi ni ule ule nilokuambia jana...usikose.
Ok, kukosa itakuwa ngumu, kama tayari upo ukumbini mwambie Black Woman ahakikishe anasimamia ugawaji wa vinywaji vizuri wageni ni wengi sana!

Hapo getini tulimpanga klorokwini manake aliwahi kupitia mgambo hivyo ataweza kudhibiti wazamiaji kwa ufasaha!

Keki mie nakuja nayo!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom