Happy birthday to me .......Tete'a'tete

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Dears!

Leo ni siku yangu ya pekee ya kujidai ni siku ambayo nilikuja hapa duniani! Namshukuru mungu kunifikisha miaka kadhaa...

Namshukuru mungu sana kwa huu uhai alionipa kweli najisikia furaha sana...Mungu endelea kunipa afya njema hata niwaone na wajukuu na vitukuu pia...nikinge na majanga yote ya hii dunia ya sasa!...kwa sababu adui ni wengi na wako kila kona! wakihitaji roho zetu tena kwa nguvu..

Pia katika siku hii yangu ya kuzaliwa ombi langu kubwa kwa mungu Naiombea Nchi yangu ya Tanzania Amani...

Karibuni kwa wishes zenu....

Loveeeeeeee you all! Happy birthday to me!!!!!!
 
utadhani we ndio wa kwanza kuzaliwa, anyway h.b.2u
 
heri ya kuzaliwa, tathimini uliyofanya tafuta mstakabali wa yajayo.
 
heri ya kuzaliwa, tathimini uliyofanya tafuta mustakabali wa yajayo.
 
happy birthday Teterita......uendelee kuwa na afya njema kila siku.....
 
Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio tele akuepushe na maadui na maradhi, happy birthday tete'a'tete sijui tetere? jina gumu?
 
Last edited by a moderator:
Dears!

Leo ni siku yangu ya pekee ya kujidai ni siku ambayo nilikuja hapa duniani! Namshukuru mungu kunifikisha miaka kadhaa...

Namshukuru mungu sana kwa huu uhai alionipa kweli najisikia furaha sana...Mungu endelea kunipa afya njema hata niwaone na wajukuu na vitukuu pia...nikinge na majanga yote ya hii dunia ya sasa!...kwa sababu adui ni wengi na wako kila kona! wakihitaji roho zetu tena kwa nguvu..

Pia katika siku hii yangu ya kuzaliwa ombi langu kubwa kwa mungu Naiombea Nchi yangu ya Tanzania Amani...

Karibuni kwa wishes zenu....

Loveeeeeeee you all! Happy birthday to me!!!!!!

Hongera katoto
 
Hongera sn rafiki.
Mungu akuongezee makumi mengine mengi ili uwaone watoto wa wajukuu zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom