Happy Birthday to Babu yangu Bigirita

Happy Basdei HEART BREAKER.... Naona umri ndiyo hivyo unaongezeka kuelekea kwenye BABU status mazima.... Hongera kwa kuona mwaka mwingine....
 
Happy bday mtu mweusi pia nawatakia heri ya mwaka mpya wiselady,pj,mj1,preta,lilyflower,derimto,teamo,fl1,fl,asprin,kimey,gy,js,saharavoice,acid

Kwa kweli mimi naumia ROHO umenitenga... :angry: :A S-cry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom