Happy Birthday to Babu yangu Bigirita

Babu yangu Bigirita

Ninatumaini u mzima na MUNGU atakujalia uuone mwaka 2011 kwa amani, upendo na Rehema zake. Nina amini kabisa kuwa Mama yetu si kati ya wale waliosahau birthdate za watoto wao na the only tarehe wanayokumbuka ni ile ya kupata kipaimara kwa kuwa kuna ile tour...nyumba kwa nyumba...

Bigirita...........UBARIKIWE SANA

Happy Birthday Bro/Babu

Happy Birthday Bigirita.

Tunakuombea uishi zaidi ya miaka 100 ukiwa na afya njema.

Hivi Derimto mbona unantafuta nianze mwaka kwa vuvuzela lakini? nimesema moyo wangu wenyewe uko kipande bado wataka kuuvunja??? ah

Ntakupasua chaliiiangu!!

Ha ha ha, MJ1, mtapikie kipepeo kimoja atakukoma kabisa, nilimshauri atumie mkorogo awe ka PJ akawa mbishi.

Ha ha ha, MJ1, mtapikie kipepeo kimoja atakukoma kabisa, nilimshauri atumie mkorogo awe ka PJ akawa mbishi.

Hahahaha LD we mwache tu si anataka anione natembelea nanilii

Loh eti atumie mkorogo uwiii................Habari yake Derimto

Happy Birthday mdhamini mkuu Bigirita

Pamoja sana...leo Marangu naina panahusu sana...

Mwaka huu nimefanya resolution ya kuvumbua vichaka vingi on transit....btw: mwaka naweka weupe wa kichina.

hebu muulize mj1.....skirt inahusika sana on transit.

Happy New Year

Baba_Enock ameipenda hii picha:

avatar16662_24.gif

Dah.... huu mwaka nimeuanza na hang-over, masharti ya dakitari yote chali... SAFARI YA TANGA NAYO CHALI, SIJUI KWANINI NILIKUNYWA HADI SAA 12 ASUBUHI

HEPI BETHDEI BIGGY...

asante sana lov, u know what is in my heart is hard so say right now.....one thing for today is i do love ya....mengine huwa ni crap na hayatupi satisfaction yeyote

Mashairi mazito haya Bigirita,ila ya kupendwa siku ya besdei yako na yangu tu,mweh!

nasingiziwa mie......ila wamewakikimbiza wote walokuwa wanataka kuja kwangu mm nilowako.
i break no hearts....i luv ya

Uzuri na mie nna kanyundo kangu,break my heart,I break urs!Ila tutawezena eeh babu?Afterall ushazeeka...

FL1,

Gia yako ya kuanzia mwaka wa 2011 kama inavyoonekana kwenye avatar yako inatisha. Naamini tutafika lakini,

Babu DC!
DC bana mi sisemi neno happy new year nilikumiss mbona umepotea sana? naomba ntafutie shamba 2011 kauli mbiu kwangu kilimo kwanza

DC bana mi sisemi neno happy new year nilikumiss mbona umepotea sana? naomba ntafutie shamba 2011 kauli mbiu kwangu kilimo kwanza

FL1 mbona unataka kunitisha kabla mwaka hata haujachanua?

Unataka shamba au bustani?

Mimi nipo tu, ila wajukuu siku hizi wamenisusa!

Babu DC

FL1 mbona unataka kunitisha kabla mwaka hata haujachanua?

Unataka shamba au bustani?

Mimi nipo tu, ila wajukuu siku hizi wamenisusa!

Babu DC

pole sana kwanini wajukuu wanakutenda babu 2011 inabidi uwaweke sawa ,harafu babu mie nataka shamba sio bustani babu

Similar Discussions

Back
Top Bottom