Happy Birthday to Babu yangu Bigirita

king'asti check pm basi.....wapya naomba muwe kimya hapa. mm ni mtoto, nimeambiwa naletewa madhiwa.

sis/mjkuu original.....ukinionea saharavoice umwambie mm ni msemaji wako, gy, teamo, fl na ld.

Hongera Babu Bigirita.

HAPPY BIRTH DAY.

asante mkuu.....umepotea kama mwaka jana....pamoja

Pm naogopa mie,wee madhiwa utakuta huku sebuleni.Watoto wa siku hizi mnazaliwa na nyundo za ku-break hearts!

woman of substance popote ulipo......naomba umpeleke pj kwa ocampo kama hakukwambia twaja.

Pm naogopa mie,wee madhiwa utakuta huku sebuleni.Watoto wa siku hizi mnazaliwa na nyundo za ku-break hearts!

nasingiziwa mie......ila wamewakikimbiza wote walokuwa wanataka kuja kwangu mm nilowako.
i break no hearts....i luv ya

Babu yangu Bigirita

Ninatumaini u mzima na MUNGU atakujalia uuone mwaka 2011 kwa amani, upendo na Rehema zake. Nina amini kabisa kuwa Mama yetu si kati ya wale waliosahau birthdate za watoto wao na the only tarehe wanayokumbuka ni ile ya kupata kipaimara kwa kuwa kuna ile tour...nyumba kwa nyumba...

Bigirita...........UBARIKIWE SANA

Happy Birthday Bro/Babu

Pacha hongera ila baba ana shabaha kalenga mpaka tarehe! ili siku yako isherehekewe na wengi! Sasa kaa tulia kunywa mathiwa yako thatha na uniachie MJ1wangu maana thithi ni wakubwa na wewe ni mtoto.

Mungu akufanyie njia pasipo na njia ayatimize mazuri yote yaliyobakia maishani mwako atayatimize na ukayaone na kuyafurahia.

Babu mkagua naniliu, PC yako ina kirusi nini maana hata sielewi hayo mapambo yanayotokea kwenye posts zako. Nway Happy Birthday ya Kuzaliwa

wewe ni mtu mweusi na umekula mbusi mingi na kisusio

Mwaka huu nimefanya resolution ya kuvumbua vichaka vingi on transit....btw: mwaka naweka weupe wa kichina.

Pacha hongera ila baba ana shabaha kalenga mpaka tarehe! ili siku yako isherehekewe na wengi! Sasa kaa tulia kunywa mathiwa yako thatha na uniachie MJ1wangu maana thithi ni wakubwa na wewe ni mtoto.

Mungu akufanyie njia pasipo na njia ayatimize mazuri yote yaliyobakia maishani mwako atayatimize na ukayaone na kuyafurahia.

Hivi Derimto mbona unantafuta nianze mwaka kwa vuvuzela lakini? nimesema moyo wangu wenyewe uko kipande bado wataka kuuvunja??? ah

Ntakupasua chaliiiangu!!

Mwaka huu nimefanya resolution ya kuvumbua vichaka vingi on transit....btw: mwaka naweka weupe wa kichina.

Babu unataka uwe mvunja mioyo?? ............. hiyo avatar babu mh mate yananjaa tu mdomoni usisahau basi kunletea japo kiduchu

Babu mkagua naniliu, PC yako ina kirusi nini maana hata sielewi hayo mapambo yanayotokea kwenye posts zako. Nway Happy Birthday ya Kuzaliwa

Happy new year sisy MJI,hayo mapambo sisy wanayaita HTML sijui PHP, babu kweli ni vere vere

Similar Discussions

Back
Top Bottom