The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Mungu nakushukuru kWa yote.ASANTE KWA WAZAZI WANGU Leo ni tarehe 26 mwezi wa 6 nimetimiza miaka 26 naipenda sana namba sita cha kufurahisha zaidi naambiwa nilizaliwa saa 6 usiku .jamani leo nafuraha sana hakuna siku nayoweza tena kufanananisha tarehe ya kuzaliwa na miaka yangu BISHANGA nimekusamehe MKALI WA KITAA nimekusamehe kwa kuniita mtoto .birthmate wangu wote wa mwezi wa sita nawapenda wana jf wote sana.MUNGU awe nanyi .Dr.wangu na baba yangu MziziMkavu asante kwa kuendelea kujali afya yangu