Happy Birthday The Finest

Nilitaka kushangaa Preta usiwe katika top ten ya waliowahi kujibu uzi huu!!!

Hata hivyo bado wengine watakuja kwa kasi ya kimbunga kuja kumpongeza TF kama akina AshaDii, Lizzy japokuwa sina hakika kama katoka lupango, Kongosho bila kumsahau Afrodance.

Mukuu Asprin mutu ya watu najua umeshamtakia TF happy birthday nijulishee mimi pedeshee wa nyanda za juu kusini nije na kila kitu inayotakiwa katika birthday.

TF longo longo zote kama sitasema HB nitakuwa sijakutendea haki. HB FT wa ukweli, enjoy your day.
Hahahahah Losambo umenifanya nicheke sana asubuhi hii...asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
kesho twende kucheki mechi ya simba na yanga baby nitalipa kiingilio....
Smile unajua huu mpira mimi naogopa presha ni bora hata twende Kunduchi Beach kwenye Go Kart tukaendeshe vile vigari
 
Last edited by a moderator:
always remember God has a plan on u n dats why u still here up to this point. If nt of God's will today even our wish wouldnt b valid. HAPPY BIRTHDAY DEAREST FINEST
 
Wishing you all the best in the year to come.
May your days be filled with sunshine and beautiful colors.
And may your nights be filled with comforting dreams and wishes to come.
images
THE FINEST.
 
Wishing you all the best in the year to come.
May your days be filled with sunshine and beautiful colors.
And may your nights be filled with comforting dreams and wishes to come.
images
THE FINEST.

Cantalisia umejituma sana kum-wish huyu jamaa...vip kuna nyuma ya pazia ama?...

miss u QT!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom