sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hapa nipo naandaa viwalo vya maana ili nisije kuzuiliwa hapo mlangoni.
Jitahidi usiniangushe mtoto mie
Hapa nipo naandaa viwalo vya maana ili nisije kuzuiliwa hapo mlangoni.
Happy Birthday sweetlady
Mnuso wapi leo jamani
Mtambuzi what a coincidence almost the same date na kijana wako wa kiume
King'asti acha uchochezi ya nitonye na Vin Diesel yanatokapi naamini hawajakutana bara barani! LOL
mbona humuulizi 'hauolayunao'? Leo SL kafikisha umri miaka semanin!i
sweetlady swahiba Happy Birthday niko busy nagombea ujumbe wa UVCCM nikipita tumeula kwahiyo swahiba kuwa na subira.