>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

kama ile ya jana ilikua kusukutua,basi naomba poo! inabidi kubadilisha definition ya 'ulevi', manake wapo wanyao vilevi na hawalewi. kama hujaelewa mazoezi ya kung fu moves yanaashiria nini,bora leo uage unaenda kwa bibi yao matesha afu urudi kesho na ka-stout. wafwaaa!
Chairman popote pale ulipo naomba uihifadhi hii sentensi hapa kwa ajili ya matumizi ya baadae.

God Forbid!!! Basi nilikua natania....
Usirudie tena!

yaaallah! uanachama wa nini tena? ashadii njoo kwanza unitetee manake nahisi hapa nachafuliwa cv!
Hujajua? Ngoja nimwite hommie aje akufafanulie......

:photo: Kadi ya uanachama namba 32.
Oupos! Done!
 
Wifi King.... Mie hapa hata wee wanitia wasi... nivigezo gani wametumia kukuchagua??
Shem, vigezo vilivyotumika hivi hapa chini

kama ile ya jana ilikua kusukutua,basi naomba poo! inabidi kubadilisha definition ya 'ulevi', manake wapo wanyao vilevi na hawalewi. kama hujaelewa mazoezi ya kung fu moves yanaashiria nini,bora leo uage unaenda kwa bibi yao matesha afu urudi kesho na ka-stout. wafwaaa!
Says King'asti..........:tongue:
 
Lol... Una mkwara!
Hahahaha.......... huyu ndo ODM bana!

Dah!!! -speechless-
Say something, shem. At least a word.

Katibu sijathibitisha, hiyo kadi ni batili. '
'Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa'- source ODM.
Utashtakiwa kutaja source kwenye habari inayoweza kutishia usalama wa (sourcer?)......LOL

SL, katibu ni RR...
Mwambie na mfadhili kabisa ili asiulize tena baadaye.
 
Naruhusiwa kuchagua nipendacho eeh!
Orait, namchagua mpambaji.
Happy belated birthday sweetlady! Endelea kuwa mtamu hivyo hivyo!
Tatizo sherehe ikiisha... hakuna la ziada...lol... Bigi naamini kama watumia utapata upendacho kuna kila aina hadi Ulanzi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom