Happy Birthday PRETA

angalieni msigawe sevieti zetu kwa matajir maana nikwenda Moshi nikamkuta jamaa mmoja kaanda sherehe akaja Tajiri mmoja namhifadhi akaomba jamaa anaesimamia sherehe..jamani ni kweli na uwazi akaomba maji yatakayonawiwa atawapa laki moja
na akaomba sevieti wanazopangusa baada ya kula nazo akatoa laki moja nikashangaa kuna pipa limewekwa kuna mtu akaanza kukusanya seviieti mwaya nikamwambia Mungu na isiwe yanguu in jesus name..so muwe makini mkiona wanaojifanya kukusanya maji na sevieti shetan hao

haya hayafanyiki kwenye birthday yetu ni huko huko mochi

lakini mmmmmmhhh ya kweli haya niliwahi sikia hii habari :juggle:
 
Hahaha! Afu umemwona TF alivyolewa??? Kweli ungechelewa usingeambulia kitu dear,

yaan wewe umenichekesha sana na hilo dumu lako la mbege lol.

SL kuwa serious bana hebu mtume muhudumu alete angalau hako ka st anna unajua za sherehe tamu kuliko ya kununua...hahahaha TF nouma sijui kama anakumbuka yupo kwenye BD hata picha amesahau kupiga daaah
Hahahaha!!! Jamani niliamua kwenda na kreti za bia nyumbani ili watu wasiibe, msijali nitakuwa nawarudishia bia moja moja hadi ziishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom