Happy Birthday President Jakaya Kikwete

chama chetu huko kwa ra.jpg

Siku ya kumbukumbu ya siku ya
kuzaliwa kwako baba richmoja,
karibu tuendelee kusheherekea.
 
Happy birthday my president. You are as visionary as the late Steve Jobs much as Magwanda do not appreciate your brilliance.

we nimtoto wa kikwete wa nje au ni wandoa, nathani itakua sijakosea kama sio mwanae bac itakua ni wa ndugu yake, nenda kale kodi ze2 ila iko siku! utaziona chungu, et birthdey hujaonaga wa2 wakufanyiwama birthdeynn?
 
sikupi besday ya kinafiki'wewe ni rais wa ovyo kuliko wote waliotawala nchi hii'huna uwezo wa kufikri'maybe unatumia makalio kufikiri'sikupendi kabisa mkuu!
 
hv wewe uliyeanzisha hii tread unaakili timamu au punguani? Hbr za birthday ya hy ****** zinatuhusu nini sisi Watanzania? Yani sisi tunaugulia maumivu ya hali ngumu ya maisha na bado tnatakiwa tupandishiwe kodi ili tulipe deni la dowans ambayo ni kampuni yake na lowasa wewe unaleta mambo ya birthday? Nenda kasherekee naye mana wewe ni mroho menzie na wl huna huruma na watanzania, PELEKA UPUMBAVU WAKO HUKO.
 
Back
Top Bottom