Happy Birthday pacha wangu carmel...!

Happy Birthday Teamo!!
Mungu akujaazie siha na akuongezee URIJALI illi kila wakati wa jamii watu wauone ubora wako na kusambaza sifa zako katika jamii inayokuzunguka pamoja na jamiiforums.

Happy birthday Dada Carmel,
Mungu akuongeze UTAMU na UKARIMU ili kila mtu unayekaribiana naye aone kuwa umebarikiwa.

Nawatakieni mapacha nyie furaha tele katika JAMII ZENU.

Kilichounganishwa na mimba mwanadamu asikitenganishe!!!

first class..!

shukrani sana mkuu
 
Hongereni kwa Ku share Birthday na mtandao wa GOOGLE.

Today is Googles Birthday Too.

Congratulations Buddies.
 
carmel is my twin sister...(kama ingefaa kujitambulisha).

tulizaliwa siku moja...mama mmoja...baba mmoja.....temeke hospitali mnamo tar 27th-september.tulibatizwa sote pale kanisa katoliki chang'ombe miezi sita baadae!...kila mtu alikuja ingia jamiiforums kwa time yake na aidii yake tofauti.lakini mwaka jana nimejua kuwa kumbe carmel ni yule yule 'pacha wangu' wa ukweli!

MUNGU AKUJAALIE MAISHA MAREFU MAMA!

LONG LIVE CARMEL!

WA AMANI!
I like the introduction, hongera twins, Mungu awape maisha marefu!
 
hongereni kwa kupatana (finding @other), nawatakia maisha mema, marefu, yenye upendo na mafanikio tele
 
Najua sijachelewa sana kuwatakia heri katika jambo hili.......
Muwe na maisha marefu na furaha tele siku zijazo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom