Happy Birthday Mzee Nelson Mandela kutimiza miaka 94

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Hata wasioipenda Jamii Forum waliona mwezi uliopita JFtulivyokuwa na online Birthday Greetings and Wishings for Mzee wetu Aboud Jumbe kutimiza miaka 92. (Bonyeza hapa)

Leo tena tunatoa kwa Nelson Mandela, Rais wa kwanza mzalendo wa South Africa. Hongera mzee wetu Nelson Mandela kufikisha miaka 94 hapo kesho.

HAPPY BIRTHDAY MADIBA.
 
Kiutani utani atajikuta amelamba karne! H'birthday Mzee Mandela, bwana awe nawe
 
Nasikia mandela anajua kiswahili na huwa anafuatilia mambo humu JF.
 
Dah ukiangalia mikikimiki aliyopitia huyu mzee isinge kuwa rahisi kufikisha hata miaka50 lakini Mungu ni mwema kwa kweli.
 
How I wish to see him live beyond 100 years mark. Happy Birthday living legend Mandela!
Karibu sana jamvini mheshimiwa.

Join Date : 16th July 2012
Posts : 4Rep Power : 0Likes Received:14
Likes Given:3

Pole na kibano cha kutimuliwa Bungeni kwa siku tatu na Job Ndugai. lakini kukutimua Bungeni kwa siku tatu maana yake siku ya mwisho yaani jana July 16, 2012 uliitumia vizuri kujiongezea Jimbo. Si Jimbo la Uchaguzi kama lako la Kigamboni. Bali Jimbo la majadiliano. Jamii Forum.

Humu tunajadili kama hivi. Tunaombeana uzima tunaleteana changamoto. Daktari mwenzako Kigwangwala yuko humu lakini siku hizi ameamua kuwa kimya kidogo.

Msimulie Mama Getrude Lwakatare maana yeye nadhani umempuuza lile swali lake mle Bungeni akiuliza JF inamilikiwa na nani! Natumaini ukimsimulia inawezekana na yeye tukaona anaokoka au anaongoka na akaja JF tukaona michango yake

Binafsi ninakukaribisha, na ninaamini wengi tu wanafurahia ujio wako. Tutarajie changamoto zako.

Welcome on board Hon. Dr. Faustine Ndugulile, MP.
 
Wanajamvi leo Mzee Mandela anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kufikisha miaka 94. Tumpe pongezi mpiganaji ambaye aliwashinda mafisadi wa Afrika Kusini bila kujari maguvu yao. HAPPY BIRTHDAY TAATA MADIBA.
 
Sijui anatumia ID gani humu JF, japo nahisi ni mwana CC!naomba upokee salamu hizi na uniambie kama ndio wewe ninaekudhania?

VERY HAPPY BIRTHDAY TO YOU BABU...LIVE LIVE LIVE LONG!!
 



0010.gif


0005.gif
0082.gif
0005.gif



 
Hivi hapa JF anatumia ID gani?
Happy birthday Mzee Madiba!
nelson-mandela.jpg

Ukute ndio BAGAH mwenyewe...
ninamsaka...nitampata tu...
dizain anakuja kichwani nakupotea...
unaweza ukasema ni Bishanga ila akili inakataa...
 
Last edited by a moderator:
Sijui anatumia ID gani humu JF, japo nahisi ni mwana CC!naomba upokee salamu hizi na uniambie kama ndio wewe ninaekudhania?

VERY HAPPY BIRTHDAY TO YOU BABU...LIVE LIVE LIVE LONG!!

We BAGAH uwe unakamilisha maelezo yako.
Nilidhani Mandela yule aliyewahi kuwa mcheza shoo wa Twanga Pepeta.
 
Last edited by a moderator:
We BAGAH uwe unakamilisha maelezo yako.
Nilidhani Mandela yule aliyewahi kuwa mcheza shoo wa Twanga Pepeta.

hahaaa...ivi umeamkaje mshkaji?
afu mapema yote hii...ina mana cha asubuhi wewe hutoi?
muulize Cantalisia cha asubuhi kilivo bomba...
huyu ni MADIBA bana..sio hao wanenguaji wako...LOL
 
Last edited by a moderator:
happy birthday to you Nelson Mandela, you are a Living Saint, wewe ndie alama ya kweli ya africa.
 
Mzee wetu Mandela
Taa ya Afrika na Dunia
Mtetezi wa Wanaoonewa,
Mfano wa kuigwa kwa wenye moyo,
Leo ni miaka 94 tangu uzaliwe
Tunakutakia uadhimishe umri wako
kwa furaha na Mungu akujaalie afya zaidi
Afrika na Dunia inahitaji busara zako.
Hongera Mzee Madiba kwa siku yako ya kuzaliwa.

225px-Nelson_Mandela-2008_(edit).jpg
18 Julai 1918.​
 
Back
Top Bottom