Happy birthday my wyf aggy

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,135
Wapendwa si haba kumshukuru Mungu kwa uweza wake wa ajabu kwa kutfikisha hapa tulipo.
Pili napenda nimshukuru Mungu kwa kunizalia mama mkwe ambae bila kujua akanizalia mwanae ambae leo hii namwita mke/hny/sweet/baby/nk.

Ntakuwa si mchoyo wa mawazo kwa kumpongeza babamkwe na wazazi wangu wote waliomkubali mke wangu kwa hali na mali na awali ya yote apo juu.
Nakushukuru RASMI Mpenzi wangu agatha kwa kunikubali nikiwa sina kitu leo tunafurahia matunda ya uvumilivu wetu tukiwa kwetu na mwana wetu mbezi beach...Mungu akupe nguvu ya kunikubali kama nilivyo natumaini nyuma aturudi tena tunasonga mbele.

Sijawaacha wapendwa wangu wa JFkwa upande wenu mmekuwa wema kwa ushauri na mawazo mazuri ya kufurahisha na kujikuza familia tumekuwa tukiangalia pamoja nyumbani pande ya mahusiano na mapenzi.

Ukirudi ukubwani kwa kweli natuma salamu kwa mod na wanachama wote waaminifu.

Mwisho napenda kutoa pongezi kwa wote waliokubali kuishi kama familia na kupendana kwa dhati nawatakia heri na fanaka Mungu awatie hamu ya amani na upendo kila muamkapo na mlalapoBwana Yesu awalinde na kuwabariki..thanks ma luv aggy
 
kwa kweli nimepita mbali sana wapo waliokuwa na uchumba, mwakiwafata mbezi/sinza /gongo la mbali nduguyo kwa miaka miwili nimekuwa nikipanda basi kwenda kongowe na kurudi usiku na wakati mwingine wazazi wakijua niko busy ofisini ...penzi ni jema pale mungu anapolipanda
 
Happy Birthday Aggy! Mungu akupe maisha marefu uendelee kumtunza kijana Sammy! Sam and Family nawatakieni baraka na furaha tele maishani mwenu!
 
happy birthday aggy! Mungu akupe maisha marefu uendelee kumtunza kijana sammy! Sam and family nawatakieni baraka na furaha tele maishani mwenu!

aminimkuu msjna nyie mungu awaepushia ladha na karaha za wasingapore mkaja kutumikia shida zilizotukuta na wote waseme amen
 
heppi bethidei aggy...
nyumba yenu inaelekea ina upendo sana na amani,
hata hapa tulikuwa tunashindwa kutofautisha nani kaposti
muendeleee kubarikiwa!!!:smile::smile:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom