Happy birthday Mkata kiu,,,

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,851
6,201
26 yrs of age si haba,, naona wedding bells nazo zinakaribia kugonga as life la kibachelor nimeona pengo lake as wife angekuwepo ndan si ajabu bonge la keki na mapocho pocho kibao yangekuwa around..( Ndo maana sizipendi hizi long distance relationship)

But ki bachelor life ndo kwanza najipongeza na castle light baridi as ndo zilizopo kwenye friji,, nikivutavuta muda niende kwa B mkubwa nje ya mji huko nae akafanye mambo yake hata ya ka cake tufurah na familia....
 
Hapi basdei Mkata kiu!
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na nakuombea usiwe kama Erickb52 kusarandia wadada wengine pindi wifi yangu anapokuwa hayupo!!

Ila siku nyingine usiwe unasherekea kipekee yako chalii yangu
Ungetualika hata sie marafiki angalau tukaja na togwa kuliko hiyo castle light yako. . . . unachafua tumbo na makemiko!!

:cheer2:hapi basdei kwa mara nyingine tena!:cheer2:
 
Last edited by a moderator:
DEAR MKATA KIU!!!!! From the heaps and piles of good wishes and Birthday gifts that you might have received today, you will be able to see my wishes shining from the very far. Pick that out first! And yes, have a blast of a Birthday.
A%20S-rose.gif
 
Last edited by a moderator:
26 yrs of age si haba,, naona wedding bells nazo zinakaribia kugonga as life la kibachelor nimeona pengo lake as wife angekuwepo ndan si ajabu bonge la keki na mapocho pocho kibao yangekuwa around..( Ndo maana sizipendi hizi long distance relationship)

But ki bachelor life ndo kwanza najipongeza na castle light baridi as ndo zilizopo kwenye friji,, nikivutavuta muda niende kwa B mkubwa nje ya mji huko nae akafanye mambo yake hata ya ka cake tufurah na familia....

hongera sana my yuang bro..nikweli ungekuwa na wife ingetulia.kiukweli kwaumli wako ukioa inakupa nafac yakulea nakusomesha watoto ukiwa bado kijana. HAPPY DAY.
 
Hapi basdei Mkata kiu!
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na nakuombea usiwe kama Erickb52 kusarandia wadada wengine pindi wifi yangu anapokuwa hayupo!!

Ila siku nyingine usiwe unasherekea kipekee yako chalii yangu
Ungetualika hata sie marafiki angalau tukaja na togwa kuliko hiyo castle light yako. . . . unachafua tumbo na makemiko!!

:cheer2:hapi basdei kwa mara nyingine tena!:cheer2:
Mwaaaaaah Kipipi
Happy birthday MKATA KIU
 
Last edited by a moderator:
Heri ya siku ya kuzalika. Kwani kwa bi mkubwa ni wapi, naweza kukusindikiza ili nikulishe keki kwa niaba ya bi mdogo atii.
 
Ndo nimeshatokelezea hapa, b mkubwa atambui uwepo wa bi mdogo until acheze harusi,,
 
Si ndo maana nataka nimuwakilishe? Utamuambia bi mkubwa mie dasa yako wa hiari. Kama vipi nije na Paw, usitubanie ubwabwa banaa. Tutachangia ndizi na pilipili basi, au tulete na.super dip?
Ndo nimeshatokelezea hapa, b mkubwa atambui uwepo wa bi mdogo until acheze harusi,,
 
Happy Birthday to you!!!!!!!!! Kata keki tuleeeeeeeeee! Tunakula ubuyuuuuuuuuuuuu! HAPPY BIRTHDAY!!!!!!!! Ndugu 26 mbona dogo kabisaaaa! Yanini kuwahi majukumu? Anyways its ya call!!!!!!!! Ungetuita hata sisi tuje na vodka zetu tukuimbie happy birthday ya kilevi!!!!!!!!!! lol!
 
Nimezaliwa cku Kama hii ya Leo, 27/10 naomba unitakie kheri ya kuzaliwa mwanaume wa kweli
 
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!! ya herufi kubwa hiyo!!!!Kumbe na wewe LIBRA!!!!!!!!! Aaaaaaaaw! Hata mimi ni SCORPION PIA!!!!!!! sisi ni majirani!
 
Namsubiri Ciello tukalale, maana kumuacha humu peke yake alafu ndio kwanza safari inaanza wasije muudhi bule baby wangu! Asante sana sie ni SCORPION bwana tunaendana eeh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom