happy birthday Mayassa wangu

Mimi tena? pita twendeeeeeee namalizia malizia makeup hapa!

Roulette unavaa nguo gani dear.... (Naomba tu isiwe kama ile ulivaa siku ya outing ya dancing.... Ulifanya nikuonee wivu mimacho yooote yalikua kwako - bahati nzuri Sweetie hakuwepo...lol)
 
hahaa.. Mie ntapiga kitu cha cream na nakshi za brown kwa mbaali.. kiatu cheusi kirefu kiasi, maana nisijeshindwa kuserebuka Lol..

I can not imagine the way utapendeza.... Nina hamu ya kuona the killing look! lol (maana hapa umbea ndo mahala pake) hahahaha.... Na habari zoote nitazilete JF Udaku!:photo:
 
Nimenunua ka skirt kapya, shemeji yako alipo kaona alijua ni mkanda. ndio nakavaa hako!
 
Lol hunishindi mimi, naweza maliza keki yote ya birthday peke yangu msipoangalia hahaaa.. inabidi mi na wewe tukae meza moja Lol..

Mayassa basi mimi nawewe hatufai kukaa pamoja aise... Au mwenzangu una bahati wala saana cake lakini end result yooote ni waste? lol... Haipai mwilini?
 
Nimenunua ka skirt kapya, shemeji yako alipo kaona alijua ni mkanda. ndio nakavaa hako!

Khaaa!!! Leo namuambia mupenzi card ni single sio double..... Khaaaa!! Mbona watuonea wenzio hivo? I hope blouse itaziba boobs zoote....lol
 
I can not imagine the way utapendeza.... Nina hamu ya kuona the killing look! lol (maana hapa umbea ndo mahala pake) hahahaha.... Na habari zoote nitazilete JF Udaku!:photo:
Wee andaa camera tu! yaani unaruhusiwa kubandika hata picha hapa JF, ila tu iwe inaanzia kiwiliwili.. kichwa una edit kidogo
 
Mayassa basi mimi nawewe hatufai kukaa pamoja aise... Au mwenzangu una bahati wala saana cake lakini end result yooote ni waste? lol... Haipai mwilini?
hahaaaa Lol.. mwenzio nimependelewa.. au sijui niseme mwili wangu hauna shukurani mwee..
 
hahaa.. Mie ntapiga kitu cha cream na nakshi za brown kwa mbaali.. kiatu cheusi kirefu kiasi, maana nisijeshindwa kuserebuka Lol..

I can not imagine the way utapendeza.... Nina hamu ya kuona the killing look! lol (maana hapa umbea ndo mahala pake) hahahaha.... Na habari zoote nitazilete JF Udaku!:photo:
Utapendeza sana mpenzi... I can't wait!
 
hahaaaa Lol.. mwenzio nimependelewa.. au sijui niseme mwili wangu hauna shukurani mwee..

Navaa ka blouse kanaitwa Air Conditioner... kanaangazaaaaa...

Tokana na hizo post hapo juu.... Naaga hapa for the following reason.

  1. Namuonea wivu Mayasa mwili wake hauna shukrani.
  2. Nimeahirisha.... naenda chimba nguo nyingine Roulette kazoea nitesa. Navaa hot pants, Wedges, na a sexy buggy blouse courtesy ya Gucci. Naenda azima kwa King'asti.
  3. Hii style ya nywele haiendani na hot pants... Naenda saloon kuweka kitu Crazy!
  4. Nataka nihakikishe nikifika ukumbini "all eyes on me" of course baada ya the same eyes kutoka kwa Mayasa! lol
 
We nenda ukabadilishe bwana! Yaani mume wangu kuniona tu kanirudisha chumbani nikabadili nguo. Sasa navaa a stretching black dress with leggins and high heels... NI kafupi ila sio sana. malizia basi saluni alafu unishtue nikupitie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom