Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Status
Not open for further replies.
na bosi ni alywas right AD, sheria namba moja, na kama hayuko rite, refer pia sheria namba 1,

Miss you though....

hahahaahah lol
afadhali hata tunakubaliana
kwenye kitu kimoja lol mmhh
He is always , always right lol

miss u big time ..
mzima lakini weye??
 
Happy bday mkuu nimekuandalia hii kama zawadi
WambrechiesWhisky.jpg


Let the GOD decorate each GOLDEN RAY OF THE SUN reaching u with wishes of Success, Happiness and prosperity 4 U, Wish you a super duper Happy Birthday
 
Mkulu Max hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa tupo pamoja,

Katika kusherekea siku hii, leo basi walau BAN zipumzishwe kabisa hadi kesho....

Many Happy returns!:israel:

Kiongozi, kuna mtu unataka kumvurumishia makonde nini leo???
Maana najua jukwaa la si-hasa ndio linaanzishaga ndundi mara kibao, na Max kaniambia ndio linaongoza kwa kulabwa BAN
 
There are currently 11 users browsing this thread. (8 members and 3 guests)
muhosni Quiet El Toro RussianRoulette Majanikv LD Edwin Mtei
 
Happy Birthday Maxence,Mungu Akujalie Afya Njema,Baraka na Mafanikio.
Akulinde na hila zote za Adui,Maisha yako yawe ya Furaha Tele
 
Mkulu Max hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa tupo pamoja,

Katika kusherekea siku hii, leo basi walau BAN zipumzishwe kabisa hadi kesho....

Many Happy returns!:israel:

Haa haa. mkuu pia wale wanaotumikia vifungo vyao vya ban wasamehewe leo. ha haa.

Heri ya siku yako ya kuzaliwa mkuu.
 
HBD Big Maxe!

God add to you much more brains to take us to the next level.

Together we can!

Respect Mkuu!
 
Mungu ampe maisha marefu hadi tumwanike juani.

Du! Husninyo, hii ya mpaka kumuanika juani simuombei, namuombea pale mungu atakaporidhika kwamba mja wake siku za kuishi duniani zimeisha, basi amchukue bila kusumbua jamaa zake!!
 
Happy Birthday Mkuu.
Each Year goes by, but counting on new one with determination brings hope and courage.9/5/2011 by Mp Kalix2
 
Happy Birthday!

Tumia maziwa ya mama kwanza, baada ya miezi 6 naweza ku-supply fresh milk kwa ajili yako.

Big UP!!!
 
Haa haa. mkuu pia wale wanaotumikia vifungo vyao vya ban wasamehewe leo. ha haa.

Heri ya siku yako ya kuzaliwa mkuu.


Yaani wewe umeongea cha maana ila vilevile ni vizuri kuzikaza ban zingine na kuwashughulikia watu kama kina M S maana ni matatizo matupu
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom