Happy birthday Malcom X

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Malcolm X (born Malcolm Little; May 19, 1925 – February 21, 1965), also known as El-Hajj Malik El-Shabazz (Arabic: الحاجّ مالك الشباز ‎), was an African-American Muslim minister, public speaker, and human rights activist. To his admirers, he was a courageous advocate for the rights of African Americans, a man who indicted white America in the harshest terms for its crimes against black Americans. His detractors accused him of preaching racism and violence. He has been described as one of the greatest and most influential African Americans in history.

source: wikipedia


Alikuwa mwepesi kujirudi akikosea, hakuwa blind follower, alipenda haki hata kugeuka aliowaamini pale walipoenda kinyume na dini, alipenda kusema ukweli.Japo historia yake imefichwa kwa wengi kutotaka aidha kumjua au kujua kidogo kuhusu yeye, bado anabaki kuwa mtu wa aina yake kupata kuishi katika sayari hii, alisema ukweli na kushushua viongozi wa Africa, waliojifanya kuisema Afrika kusini na kukaa kimya kuhusu Marekani! hakuficha hisia zake juu ya Kennedy kuuawa kuwa alistahili, kwani yeye ndiye aliongoza mauaji ya Patrick Lumumba,licha ya kuwa Kennedy alikuwa anapendwa kuliko maelezo.

Aliutangaza na kuishia uislamu mwili wake ukaombewa na kuagwa kanisani

''There are those who will consider it their duty, as friends of the Negro people, to tell us to revile him, to flee, even from the presence of his memory, to save ourselves by writing him out of the history of our turbulent times. Many will ask what Harlem finds to honor in this stormy, controversial and bold young captain-and we will smile. Many will say turn away-away from this man, for he is not a man but a demon, a monster, a subverter and an enemy of the black man-and we will smile. They will say that he is of hate-a fanatic, a racist-who can only bring evil to the cause for which you struggle! And we will answer and say to them: Did you ever talk to Brother Malcolm? Did you ever touch him, or have him smile at you? Did you ever really listen to him? Did he ever do a mean thing? Was he ever himself associated with violence or any public disturbance? For if you did you would know him. And if you knew him you would know why we must honor him''-Davis Ossie

RIP
 
malcolm-x-quotes-15-2.jpg
 
Malcolm X - Theres no such thing as a non-violent revolution
 
mionhon mwa watu nlioyokea kuwapenda katika ulimwengu huu basi huyu jamaa(Malcolm X) ni miongoni mwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom