Happy BirthDay LilyFlower!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Happy Birthday LilyFlower!

Nakupongeza sana kwa kufanya maamuzi sahihi ya kutoka tumboni mwa Mama yetu siku kama ya leo miaka kadha iliyopita!
Mungu akujaalie dazani za miaka ya ziada, na hatimaye uje kuwabeba wajukuu wa wajukuu zako!
Be Blessed dear!

HappyBirthdayFlowers.jpg
 
Happy Birhday LilyFlower,Mungu akupe miaka mingi yenye Neema na Baraka tele,maisha yako yawe ya mafanikio.
 
PJ bana kutuwekea huku Birthday ya mwenzio ndo nini sasa?? Ungeweka kule kwa congrats, bana tungeiona haraka.

Happy Birthdy Dear LilyFlower.!!!! May God Bless you My Dear young sister (the name Lily is for my youngsister)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom