=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

Duh nilipitwa na pongezi hizi Ashadii, Happy belated bday King'asti, Mungu akupe afya uishi miaka mingine mingi zaidi ya hii
 
hehehe, wifi kesi hii inakuhusu vilivyo! manake bila ww na shemeji mi nisingewajua wahalifu hawa,lol
kuhusu pipi, hizo wagawie watoto tu. mie na ww hatudhuriani

ha ha ha... Wifi kwa maneno yalofuata hapa chini by ODM naona
it was worth my kukataa kununua hio case... wee ni mjukuu madhambi
yako mara moja yasamehewa for you know why?? Mimi nikiwa na madhambi... mmmh!

Hivi nachosoma ndo kilichoandikwa au macho yangu yananidanganya? Inauma sana aisee..... This is very unfair....ODM amesikitika sana, ODM amefadhaika sana......ODM is sad and unhappy.... But his love is still there....won't change. i

Usijali ODM... anatingisha kibiriti....lol... however yangu macho....
Na baada ya kufuatilia saana ndo nimepata taarifa jamaa wa kweny kona
alimyonyesha a lot of mbege kwa nia mbaya mpaka ulipookoa jahazi na kumpeleka home...lol

hivi no avatar is an avatar eeh? kaazi kweli kweli! i


Memo katoa tu hio avatar.... siwezi shangaa kama uongozi wa jf ndo wamemwambia... lol... yaani it was nasty....
 
duhhh
haya mambo ya kuchukua holiday
haya saa nyingine mabaya sana yaani...
Nimepitwa na bday party ya kufa mtu duuhhh

nway King'aaast I need youu I love youu
ana ana anaaa doo .........

King'ast Happy Belated Birthday my dear
hopefully you had a great,
(full of fun) day.....


Happy Birthday King'ast .............


At least uemkuta Birthday cake bado haijaisha....lol... it seems you are good... which is good.
 
Duh nilipitwa na pongezi hizi Ashadii, Happy belated bday King'asti, Mungu akupe afya uishi miaka mingine mingi zaidi ya hii


Gaga mimi nawee siku hizi twapishana ile mbaya...

Kuhusu birthday hata hujachelewa for your post imemkuta King is
only two day old... na kikubwa naamini salamu za kheri hazina mwisho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom