=*=*=*Happy Birthday King'asti=*=*=*

ila hii shemeji shemeji, nahisi kama taa huwa zinazimika kama sio tanesco huwa wanahusika! :painkiller:
babu,bahati yako mie namuamini sana wifi yangu!

(La kutokupatikana pale ODM anapokuhitaji the most):angry:

And you know where to find me, don't you shem?
 
kumbe ni hii digirii ndo inanitesa? wifi njaa yote imeniisha! sikutegemea ungetoa collabo...na nilikuwa nanusa tuu,dah!

Jamani... How do i jitetea hapa.... Dah! Just know kiroho i was with you thus the ujumbe via another....

Shhhhhhh..........kuna watu wana digrii za majilaz hapa LOL hawachelewi kuiloga skriin yako hapo isionyeshe posts za ODM
 
thanks my dear (afu hamkunijibu, ww nitakuita shem ama kaka? manake hata kwa kidhungu hawana hii,lol)
and officially i should say asanteni sana kwa futari japokua na hizi kilo zangu kukaa chini ilikuwa challenge kiasi!
thanks for being my family, i am so honored. ur barbecue was a killer, inabidi nimlete kakake ashadii ajifunze aisee. we shall revenge on ur bday,lo
kibabu kinazeeka,kisamehe bure!
Happy Birthday My dear King'asti (nashangaa babu ODM kusema eti jina gumu hili)

Me na Mpenzi wangu AshaDii tunakuandalia bonge la futari leo.,, na madamu umeahisi kutokuja na AK47 basi hata waoga waoga kama Kina TF na Kimey watakuwepo (kimey hatakuwa peke yake, supposedly)

I wish you many happy days ahead,
 
babu odm, tatizo lako ww unakula daku ya chai ya rangi na maandazi! ndo maana saumu inakunyanyasa. actually ukimaliza mfungo,vile umesamehewa na dhambi zako inabidi uwe umenawiri kama kitimoto (oops, kumbe haramu)

Hommie inaelekea we hujafunga, nimesema linakuwa gumu ukiwa na njaa.......... na unajua tena swaumu na jua hili ilivyo kali.... Sijaona sehemu ukimsalimia shem wangu.....Hii tabia umeanza lini?

Sweetie... that is so sweet of you.....
hapo juu na hapa chini, babu u smell very fishy! wifi, watch me coz i am watching u! mi nna wivu na all married pple,ohoo!:angry:
Thats so sweet to learn that you get all that sweetness from my homeboy


huyo mke wa shem wako inabidi umfundishe mapishi, manake nadhani atamuua odm soon!
Umeona eeeh? Ila hapo juu... Sweetie kafunga bana, ananipa company in everything... si unajua mmoja akifunga mwingine asifunge ni disaster!
 
very nice msg and prayer. nashukuru sana mammamia. and i lov che guevara,nice avatar
Ninaungana na WanaJF kwa kukutakia kila heri, baraka, mafanikio na furaha,
Kwa siku hii na siku zote za maisha yako. Ninakuombea uishi maisha marefu
Yaliyojaa afya njema, amani, upendo, mapenzi na mafanikio: yote hayo ukiwa umejawa na FURAHA TELE.

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA!
HAPPY BIRTHDAY!
EID MILAD SAEED!
JOYEUX ANNIVERSAIRE!
FELIZ CUMPLEAÑOS!
ALLES GUTE ZUM GEBURTSTAG!
 
Thanks my dear, im honored.
those stilletos u sent me bado hazijafika,hebu cheki na courier...
I wish you a lovely day, not just today because it is your birthday, but all year round. May you always wake up in the morning with a smile on your face. Happy Birthday to you mamaa King'asti.
XoXo
 
Hebu ulizana na Sweetie wako....Nna mashaka kuna mtu alienda kumnyonyesha bia huyu binti mzaliwa..... Manake hayo makomenti hapo juu, lazima aliyaandika akiwa amelewa.......khaa!

hapo sahihisha kidogo sema mbege bwana......nimeona nikajua this is KIng'asti...
 
afu nilikuwa sijajua kama dera linanitoa vile,lol! ntacha kukwaza watu na skintite sasa! asante kwa kunifumbua macho,lol!
She will be right back... anajaribu derrah atalovaa wakati wa kufuturu.....
<br />
<br />
 
hus, melted is my heart! being needed is a good feelingq thanks,ila hio ya kuanikwa juani inabidi uhusike kwa karibu mamii!

&quot;King'aaasti, i need u, i love uuuu&quot; wapi mr nice king'asti? Happy birthday, uishi maisha marefu hadi tukuanike kwa jua.
<br />
<br />
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom