Happy birthday Kamanda Zitto!

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,204
1,462
Happy birthday kamanda wa ukweli,jembe lisilo na ubishi mungu akupe maisha marefu uzidi tuwatumikia wa Tz kwa moyo wako wote,
 
Mimi nakuombea kwa Mungu akupe umri mrefu zaidi ya mandela
 
hbd zitto,naona unakimbilia kwenye miaka ya kikatiba,hii inakuja yenyewe tu wala huna haja ya kukimbilia au kulazimisha,all the best bro!!!!!@zt
 
happy birthday zzk
kila la kheri ulimwenguni humu!:amen::amen:
 
kwa nondo unzgonga unayo kila sababu ya kusheherekea birth-date yako
 
Happy Birthday kamanda ila jenga chama zaidi kuliko kujijenga binafsi, tukiona unafaa tutakuja kukupigia magoti kukuomba ugombee urais..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom