Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,582
Invisible & JS.......the attraction is palpable! Teh teh teh
Samahani badugu!
who is this JS??
Kwa mara ya kwanza naanzisha hii thread kukupongeza kwa siku ya kuzaliwa kwako.
Uwe mwingi wa furaha na mafanikio maishani mwako, umekuwa mwanachama wa JF kwa muda mrefu na umekuwa makini na michango yako.
Happy Birthday!
happy bday swty be blessed and live to the fullest
Hongera JS kwa kugonga 55yrs
Mungu akuzidishia chumvi
usishangae invizibo kampiga ban kwanza halaf ndio akalembea sred ya birthday. hehehehe Happy besdei JSwhere are you JS.......?