Lovelly day...my wish to all other members who were born on this date
Mkuu,
Naomba sana mtafute MARIA ROZA, maana yeye pia B/Day yake ni leo, huenda kukawa na kitu fulani in-common kati yenu! ha h a haaa!
Otherwise Mkuu, Hongera sana, na uwe na siku njema sana!
Kikubwa na cha msingi, ni siku ya kujipima umekuwa na marafiki wangapi wa kutegemewa hadi leo!
Enjoy!
Babu shikamoo....thanks for ur wishes...namtafuta pacha MR cjui yupo kona ipi aje tukate keki na kuzima mishumaaaHappy birthday Inkoskaz
Mungu akupe maisha marefu....wewe na pacha wako Maria Roza.
Ukikua uwe mtundu kama avatar yako, sawa eh?.................Haya.....sema shkamoo babu.