Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

Hivi yeye mwenyewe(president) anasherehekea hizi sikukuu?

Je ni culture yetu?
 
JK 59 yrs old is enough for a man to be strong. Kwenye birth day ya miaka 75 ya Mwl. Nyerere alisema mtu anapoelekea uzeeni anazid kuwa solid. Sasa mheshimiwa huna haja ya kuogopa watu simama wima, walk the talk, take action sambaratisha hao mafisadi. Onyesha kuwa wewe ni mzee wa kaya sasa, sio kijana kama walivyokua wanakutambulisha.

Anzia hapo ofisini kwako, ondoa ma-agent wa mafisadi waliopo hapo ili uweze kujinafasi.
 
Hongera Jakaya kufikisha miaka 59; naangalia picha yako ya mwaka 1975 pale UDSM ulipopata shahada yako ulikuwa kijana sana na huna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kukupendelea kwani wengi wenzako katika picha ninayoingalia wako mbele ya haki!! Tumshukuru Mungu kwa upendeleo na tumuombe akupe ujasiri wa kufanya maamuzi magumu dhidi ya mafisadi lakini yenye maendeleo kwa watanzania walio wengi!! Happy birthday mkulu wa kaya!!
 
Don't think of it as getting older,think of it as becoming a classic.Happy birthday president Kikwete.
 
beer_medley.jpg


Happy birthday Mr President!
 
Hivi yeye mwenyewe(president) anasherehekea hizi sikukuu?

Je ni culture yetu?

Inamaana mtu haruhisiwi kusherehekea siku yake ya kuzaliwa hadi iwe culture?..jamani tutafika kweli huko tunakokwenda au?.....

Happy bithday president JK!...Live long m2wangu!
 
..kwa CV yake na uzoefu nilichoka pale alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha,kweli huyu mzee Mwinyi alikuwa anafikiria nini kumpa kada wa chama na mwanajeshi uwaziri wa Fedha? post nyingine jamani zinahitaji kujua kazi zaidi kuliko siasa..HAPPY BIRTHDAY MKWELE!
 
Kwa kweli jamaa handsome, ukimuangalia unaweza kufikiri makamo ya akina john mnyika.
 
Better Being late than not, HAPPY BIRTHDAY Mr President, May God Bless you and annointing you with wisdom & power on how to lead our beloved Country!
 
Hongera sana jk.
Maana umefika nusu karne, mengi umeoyaona mazuri na mabaya.
Mimi nadhani umeyaona mazuri mengi ndiyo maana mpaka leo unaendelea kupumua.vinginevyo..................
 
Haya mameno ni ya kwako au umeshinikizwa kuandika hivyo?

mmeanza kuleta shombo zenu waja wa laana, hii ni thread ya pongezi kama una anything against upo huru kuanzisha thread yako au kuchangia kwenye thread za wenzako kama wewe wenye kudhani kwa JK ndio watatokea.
 
Duuuuuu!
Hayo maombi mkuu wa nchi yanaashilia utaishi kwa urefu kuliko hata Tanzania. Najua si kweli hata kidogo!

Mimi sikutakii maisha mazuri wakati kuna wanaokufa kwa njaa mbele ya utawala wako.

Nakuombea uishi kwa urefu ili ukiondoka madarakani usutwe kwa yote yatakayokushinda kwa uzembe na ujisifiye kwa yale yatakayokwenda vizuri.

Baadaye ushuhudie ubora na udhaifu wa mrithi wako.
 
JK Happy Birthday.Please do not neglect your health..get yourself checked out Bwana....We need u at this moment in time......
BEST WISHES AND WE PRAY FOR YOU......................
 
Back
Top Bottom