The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Ahaa ahaa ahaaa itakuwa balaaLeo Dompo litanitambua...
Ahaa ahaa ahaaa itakuwa balaaLeo Dompo litanitambua...
Vipi , ratiba ya mnadani itakuwepo, au ni pale NK tu?@ 16 kweli inabidi niwe mwa mwangalifu na pia nashukuru kwa kunikumbusha. Uchofu PJ natuma tiketi ya ndege uwahi Dom
Mkuu kontena lazima litoke leo upande wa transport hakuna tatizo.
Nakuaminia mkuu, amenitonya analisubiri hilo kontena kwa hamu kubwa.
Happy Birthday DaMie niko busy hapa TRA ninalipia kontena lenye zawadi zako litokee leo leo ili niweze kukukabidhi.
Ni balaa inabidi awe mwangalifu kiarusha aache wenge, tehe tehe tehe.Sweet 16 DaMie
Ngoja niwasiliane nae mapema kabisaAsante na jitahidi litoke, wasiliana na Fidel80 kuhusu kusafirisha hilo kontena ana maelekezo yote
Kweli na vijana watakuwa wameanza kucheza anga zakeNi balaa inabidi awe mwangalifu kiarusha aache wenge, tehe tehe tehe.
Happy Birthday DaMie,usihi maisha marefu yaliyo na baraka kutoka kwa Mungu.Furahi siku yako ya kuzaliwa.
Heri ya kuzaliwa Dada Da Mie. :A S-heart-2:
Happy Birthday my dear...........................
Hongera sana mpendwa. Mungu akupe maisha marefu zaidi.
Vp, tunaenda?...semeni kama vipi tusababishe!Happy BirthdayDamie,Nakuombea mema uwe na Wakati wa baraka :hug:
Aisee Da Mie mwambie Love the Nurse mimi kosa yeye sana, Leo mwambie atenge ka muda kidogo nina maneno nataka kumwambia!!
Tuko pa1 sana DaMie. Naendelea kujazilisha kontena la zawadi, likijaa tu naanza safari. Enjoy!Asante Sweetlady karibu kufurahi nami
Kamati imekamilika kila idara, leo ni shangwe kwa kwenda mbele. Karibuni sana.
Leo Dompo litanitambua...
Happy BirthdayDamie,Nakuombea mema uwe na Wakati wa baraka :hug: