Happy Birthday DaMie.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Nachukua fursa hii kukutakia kila la kheri katika kusherekea sikukuu ya kuzaliwa kwako. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele, akupe zaidi kipato na akuwezeshe kuwa mvumilivu na mwenye hekima katika siku za uhai wako.
Mwisho tumia siku yako ya leo kujifunza mapungufu yako ili uyarekebishe na mazuri yako ili uyaendeleze. Samehe na sahau wote waliokukosea, Mungu atakufanya uwe mpya.
Mabox ya zawadi nimeahidiwa yanaletwa na other JF members kama akina MaxenceMelo, Kimey, Kaizer, Preta, PakaJimmy, Fidel180, Asprini, Finest, MwanaJamii One, MariaRoza, BigMama, Afrodensi, WiseLady, LilyFlower, DenaAmsi na wengine wengi tu wanakufahamu, jiandae kwa mapokezi.
 
Happy Birthday Da Mie, hongera kwa ku turn sweet 16 hahahaha, Mungu akuongezee busara zaidi mpendwa uwe na Amani na Furaha kwa siku yako ya leo, kama Mzee wa rula alivyosema hapo juu Mungu pamoja nasi tupo pamoja nawe mpendwa.
Zawadi yako ndo naipeleka kwa DHL kabla jua halijatwama utaipata...!!
 
Happy Birthday my dear...........................

Mamito Ile keki tutaipeleka sa ngapi? Da Mie kazaliwa siku ya Muungano itabidi tukitoka tu hapa Uwanja wa Amani tunaelekea moja kwa moja kwa Da Mie kufurahi pamoja
Mimi nipo Dodoma nitawapokea na hizo zawadi zenu, Kimey lipo kontena special kwa ajili ya zawadi toka kwa wanaJF.
 
Wow!
Hongera sana Damie!

That age of 16 of which you hit today is very dangerous, as naughty boys may start chasing at you... ha ha haa!

Sa mbona hukusema siku ile tumeonana kule Nanihiino, TUNGESABABISHA naniliu ya fastafasta?..Nambie sa tunakaa wapi kama kamati?

OK, Mungu akubariki sana, na kila siku inayozidi uongeze marafiki zaidi na zaidi, na uwe amani mpendwa!
PJ.
 
Asante mzee wa rula kwa kukumbuka siku yangu ya kuzaliwa na muungano nimeandaa kontena la kuweka zawadi kwani hao uliowataja nawaaminia. Yote ulionihusia nitazingatia.
 
Happy Birthday Da Mie, hongera kwa ku turn sweet 16 hahahaha, Mungu akuongezee busara zaidi mpendwa uwe na Amani na Furaha kwa siku yako ya leo, kama Mzee wa rula alivyosema hapo juu Mungu pamoja nasi tupo pamoja nawe mpendwa.
Zawadi yako ndo naipeleka kwa DHL kabla jua halijatwama utaipata...!!

ha ha ha kaka, karibu na asante sana Usikose kuja kujitandaza kunako sherehe loveness yupo busy na maandalizi.
 
Happy Birthday DaMie niko busy hapa TRA ninalipia kontena lenye zawadi zako litokee leo leo ili niweze kukukabidhi.
 
ha ha ha kaka, karibu na asante sana Usikose kuja kujitandaza kunako sherehe loveness yupo busy na maandalizi.
Aisee Da Mie mwambie Love the Nurse mimi kosa yeye sana, Leo mwambie atenge ka muda kidogo nina maneno nataka kumwambia!!
 
Wow!
Hongera sana Damie!

That age of 16 of which you hit today is very dangerous, as naughty boys may start chasing at you... ha ha haa!

Sa mbona hukusema siku ile tumeonana kule Nanihiino, TUNGESABABISHA naniliu ya fastafasta?..Nambie sa tunakaa wapi kama kamati?

OK, Mungu akubariki sana, na kila siku inayozidi uongeze marafiki zaidi na zaidi, na uwe amani mpendwa!
PJ.

@ 16 kweli inabidi niwe mwangalifu na pia nashukuru kwa Kunitahadharisha. Uchofu PJ natuma tiketi ya ndege uwahi Dom
 
Back
Top Bottom