Hapa Imasco jamani wake za watu wanaliwa vibaya. Nna nusu saa hapa walioingizwa si chini ya kumi. [MENTION=80055]Madame B[/MENTION] ulishaingia hapa? Happy New Year.
Hapa Imasco jamani wake za watu wanaliwa vibaya. Nna nusu saa hapa walioingizwa si chini ya kumi. Madame B ulishaingia hapa? Happy New Year.
Iko Temeke hapa opposite na uwanja wa taifa. Usiulize nimekuja kufanya nini hapa. Haikuhuu.
Mkuu hilo jina lako gumu kama dawa ya ukimwi. Huu ni unyanyasaji wa watu wenye kigugumizi. Khaa! Mpaka nimejing'ata ulimi wa supu.
Mwaaah shemeji cacico! Happy birthday mpz khaaa leo tunaburidikaje ?
Msiri wangu mwaJ come this way leo nimetoka barracks kuja kuserebuka kwen huu mnuso, sweetlo gfsonwin na mwalimu wangu snowhite na Madame B njooni tafadhali maana Asprin leo kakabidhiwa rungu! Hahahahaha kazi ipo leo
Mpenzi Yummy baby BADILI TABIA what do u have in store for us?
Elizabeth Dominic na Kaunga njooni maungamoni kabla ya sherehe!
uwwiiiiiiiiiii! am speechless! rahaje thatha knowing u have friends thinking of u all the tyme?!!! Just one word! MUNGU AWAZIDISHIE, AWABARIKI WALE WOTE MLIONIWISH LUCK NA JF NZIMA IN GENERAL, i have a family at home, but u guys are my realy friends! thanx again!