.......Happy Birthday cacico......!

Ila usivute ule ugoro wako.
Hapana, nakuja kamili gado....

003.AKINYONYAA.jpg
 
Kaizer waswahili husema ukitaka kujua uhondo wa ngoma shurti uingie ucheze, hivyo basi we ukaribie tu ujioneamo kilichomo, amini you won't be disappointed :mwaaah:
I know i know mpz Yummy un have so much to offer nami sitakuanguha. Asprin naomba picha ya muktadha huu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Madame B mambo?? mzima wewe?? tena eti klorokwini kamletea ugoro wa russia! leo huko kizaa, kizaa!

Mambo yangu Poa tu na mzima tu mamito cacico,
H'B'day,
Yani huyo Wajina wake ndo anataka amzimishe kbs?
Yani leo huko lazima watu warudishwe majumbani mwao na Mikokoteni.
Jinsi 'watakavyoangusha magari'
 
Last edited by a moderator:
Kuna B'day ya Mamito cacico,
sasa nataka uje uambatane nami ili 'Nikipombeka kinyama' kwenye sherehe unibebe mpaka home.
C unajua Shemejio Kasafiri?
Hakuna wa kunifata.


Ahaa..ni hivyo kumbe,haya Happy Birthday cacico
ila naomba hiyo message uifute asije kuiona Arushaone, ruttashobolwa si umesema amesafiri au...usiwe na hofu leo
kwa raha zako ukiwa chuni ya ulinzi wangu.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom