Hii staki staki hii ndio mwalimu wangu snowhite yuko nayo busy anamshauri mtu aliyeombwa na mkewe amtafutie mwanaume wa kumliwaza. Where is Kaizer when I need him the most kwa mwongozo?We nawe mbona sikuelewi, jana usiku uliniomba sana nisije nimevaa hivi....leo sijui umeamka na tamaa gani unataka tena haya makitu waiiii mi staki bana!
Nashukuru Mungu leo sijavaa mawani yangu.
Kaunga tutake radhi aiseee hivi unajua unamuongelea mume wa watu hapa....lol! Mnuso utakua wa nguvu we kama hutaweza kuhudhuria tutakuhusisha kwenye picha za mnato(hili neno nalo mmmhhh....) teh teh teh tehHappy b'day cacico, ila kama muaandaa sherehe ni asprin polee wee!
Unamuulizia nani mkuu? Mtaje jina nikupe wasifu wake.
Yes it is your birthday.....
Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana.
Wakati tukikuombea maisha marefu, tunakukaribisha kwenye tafrija ndogo ya kukupongeza. Mwongozo utakuwa hivi:
Ni bia na bia na bia.
Halafu bia tena
Halafu pombe kwa wingi
Kisha maakuli
Halafu na maakuli yetu muhimu
Then kuserebuka
Kisha...mmmmmwaah!
Ulinzi utakuwepo wa uhakika
Ila polisi hawaruhusiwi
HAPPY BIRTHDAY cacico
Popote mlipo Yummy, BADILI TABIA na Kongosho ........... Please come this way!!