happy birthday bahalia wetu le mutuz mtu ya watu willie@kigamboni machibya.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Nakupongeza kwa kufikia tena tarehe ya siku ulio zaliwa. Mungu akujalie maisha maleeeefu yenye furaha tele. Mungu wangu akubariki mpaka ushangae.Happy birthday william malecela. Mia
 
ubarikiwe hadi kunguru watage kitandani kwako..happy birthday papaaa kubwa..
 
Happy birthday mwenyekiti wa wazazi kigamboni! Mungu akujalie ubunge unaoutaka.
 
Back
Top Bottom