Happy Birthday Baba_Enock

hongera sana.......!

ungalikuwa kijana ningalisema GROW WISE...!naam tazama sasa hu kijana tena....!nitasemaje mimi?

halafu naomba namba za obuntu
 
images

mungu aendelee kukulinda na kukutunza
Amen
 
hongera sana.......!

ungalikuwa kijana ningalisema GROW WISE...!naam tazama sasa hu kijana tena....!nitasemaje mimi?

halafu naomba namba za obuntu

Teamo,

Nimefikisha miaka 18 - Bado teen kabisa & growing wise and wiser!
 
Hongera kiongozi kwa siku yako ya kuzaliwa!! Sasa leo wapi? King Star? Zero Pub au Fair way? Namwambia Eliza aweke za baridi kabsaa!!

Baa Mpya - Asprin ni Floor Manager - Mawasiliano yote yapitie kwake tafadhali!
 
Baba Enock, Heri ya siku ya kuzaliwa...Count your blessings, not your wrinkles!!!:wink2::wink2:
 
hahahh i'm in the venus the second planet kaka ake hku life nzuri waenjoy tuu na hakuna ukimwi wala malaria hahah kazi kwenu sasa???nikukatie tiketi ya kuingilia au??? hahhahaa lool ...:dance::dance::A S 103::A S 103::A S 103:
Let me ask you the same question where in the world have you been hiding??:biggrin1:
 
hahahh i'm in the venus the second planet kaka ake hku life nzuri waenjoy tuu na hakuna ukimwi wala malaria hahah kazi kwenu sasa???nikukatie tiketi ya kuingilia au??? hahhahaa lool ...:dance::dance::A S 103::A S 103::A S 103:
Aisee nifanyie booking mapema maana kama hamna vyote hivyo ulivyosema basi maisha ni kama vile nyoka asiye na sumu
 
hahah haya jitaarishe na safari basi ue nayo lakini na ile ya kuhemea ile maana huku hamna oxygen hehehe ...kote moto mwenzangu huku hamna marazi lakini huwezi kuhema huko mna marazi lakini mwahema lool...lakini hamna tabu gass tutamia kipindi kifupi tuu ikiisha tutakuwa tushazoeana na hali hehhehe lool... kwaheri...
Aisee nifanyie booking mapema maana kama hamna vyote hivyo ulivyosema basi maisha ni kama vile nyoka asiye na sumu
 
Happy birthday my dear, Mungu akujaalie maisha marefu zaidi
 
Japo nimechelewa lakini nakutakia Maisha marefu yenye furaha na amani tele.

Ubarikiwe sana
 
Heri kuchelewa kuliko kukosa:

Heri ya siku yako ya kuzaliwa meti wa shule.

Pale Kwa Jonista upitie kesto MILK stout zako mbili ili ukue vizuri.
 
Happy belated birthday BE!
Hope you had a wonderful day yesterday!Be blessed and stay blessed!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom