happy bday Pdidy

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Hata kama sitopewa na wana Jf nikiwa naishi najua raha jipe mwenyewe ati
Happy bday Pdidy,Napenda kushukuru uongozi mzima wa Jf kwa kunilea kunizoea kunifunza na kunitunza pale nilipokosea Napenda kushukuuru Mungu kwa pumzi alionipa najiuliza leo hii tungekuwa tunalipia pumzi ningekuwa wapi mtoto wa mkulima didy...ni neema ya ke Mungu kama dada shushu anavyoimba

Sitokuwa na fadhila kushukuru familia yangu mke wangu watoto wangu wa kike na kwa wale waliozoea kupokea mlio wa simu yangu""u u u dont touch ma daughters "" sio natania napenda kuchukua wakati huu wa sikukuu kuwambia muwe makini na watoto wa kike wa wenzio na mambo ya mtoto wa mwenzio ishie uko uko na wala sitanii

Ntakuwa mchoyo wa fadhila kutoshukuru kwa Mama yangu kipenzi MILDRED MOSHI ambae ilimpendeza Mungu kurudi nyumbani kwake kama anavyosema nyumbani kwa baba makao ni mengi lakiniwatenda kazi wachache..najua atuko kimwili kiroho tuko pamoja Mungu akubariki kwa kazi yote upendo wako na uvumilivu wako kwenye matunzo kama mama kama baba naamini Munguwa mbinguni hatoacha kusikia sauti zetu kwa shukrani tunayotoa...napenda kushukuru familia nzima ya jamii forums waliokuwa pamoja kwenye wakati huu mgumu mpaka tukampumzisha mama yengu kipenzi mama DIDY...ni vigumu kuaminilakini Kwa neema ya Mungu tunashinda ya dunia.......

najua mama didy uko uliko unajua hili kwamba nakupendaaaaaaaaaaaaa na kupendaaaaa na hata ninavyoandika jua nakupendaaaaaaaaaaaa mama ngu wewe ni wangu wa maisha nakama si wewe hata nisingefika hapa nilipo kwa uvumilivu na upendo wako juu yangu ..akuna asie na mapungufu lakini kama nilivyooomba mke kutoka kwa Mungu basi alinipa mke mwenye kuvumilia kwenye shida na raha na Mungu baba wa Mbinguni akubariki aendelee kukutunza tutunze watoto wetu ..napenda kuchukua nafasi hii na furaha yangu zaidi kuwaombea wale wote wenye matatizo ya Ndoa naamini si mapenzi ya Mungu hata kidogokukkupitisha hapo ulipo lakini naomba uamini akuna jaribu lisilo na Njia
Mungu wa mbinguni akupee farja tele ya ndoa yako milele na milele kwa wana jf wote na wote kama waamini tuseme

Amen
 
amina. kumbe we na wifi sweetlady mapacha....... heri ya siku ya kuzaliwa Mungu azidi kukubariki
 
Last edited by a moderator:
Pole na Hongera mkuu.
Sikupata kusikia juu ya safari ya mama kuelekea kwenye makao yaliyo mazuri sana.
 
Thx belinda/pk
mkuu mama mungu alimpenda jun 12 ,niliweka jukwaani namshukur mungu alietupigania kumlaza kwenye nyumba yake ya milele salama ...nsalimie wote belinda longtime dear no see
 
Hongera pdidy. Pole kwa kuondokewa na mama. Mama hafananishwi pole kweli naona uchungu ulio nao Mungu akutie nguvu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom