Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
hiyo hapo imeamini?
mmm!! hii picha kweli ni ya marekani? au Tandale uzuri, mbona miguu imepauka viatu vimeisha du!
hiyo hapo imeamini?
kwwa taharifa yako hiyo picha ilipigwa enzi za ze utamu ila mange aliiweka kwenye blog yake ili kunogesha story, ndio, happy na koku walipigana ila hiyo sio picha yao ,,,,,,,,,,,,hiyo hapo imeamini?
duh rais tunaye