Happiness is marrying your best friend .first love somebody who knows you

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Inasikitisha kuona watu wakishaoana unakuja kugundua mambo ambayo yanaleta matatizo Kwenye ndoa ,physical abuse,emotional abuse etc.ukiolewa na mtu uliemjua .marriage is an institution take it seriously before you register"
 
Na pia asiwe maarufu sana, umaarufu nao unatia wivu, hadi mnashindwa kuvumiliana hata kama mnajuana!
 
mhm sasa hapa kuna tatizo...atakaye kujua vizuri ni amabye amekuwa rafiki yako yet hapo hapo tunasema kuwa man and lady cnt just be friends....kha!! kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom