Hapo zamani

Hapo zamani kulikuwa na kufuli za V I P .........
Hapo zamani kufuma mpira na kamba .kawaida.... Siku hizi ni kununua tu

Hapo zamani kila mtoto alifuga samaki

Hapo zamani kila mtoto alifuga njiwa
 
hapo zamani ukila kwa watu ni soo ila siku hizi mitoto uswahilini ni balaa tupu
hapo zamani tulikua tunasalimia pasipo na lengo lolote ilikua ni kwa heshima tu.. siku hizi toto likikusalimia inakua hivii
toto; shkamooo
mtu mzima; marahabaa.. hujambo
toto; naomba mia..?
 
Hapo zamani tulikuwa tunavaa kandambili za pajero kwa ajili ya mtoko.
Hapo zamani ukiuwa kunguru unapewa sh50
Hapo zamani ilikuwa raha kupanda chai maharege ili kuwahi skuli
 
Hapo zamani tulikuwa tunavaa kandambili za pajero kwa ajili ya mtoko.
Hapo zamani ukiuwa kunguru unapewa sh50
Hapo zamani ilikuwa raha kupanda chai maharege ili kuwahi skuli

Hapo zamani vijana kuzamia kwenye harusi ilikuwa ujanja
Hapo zamani sabuni yakufulia maalufu ilikuwa inaitwa Mbuni
Hopo zamani usafiri ni UDA tu kabla ya daladala
 
Hapo zamani mtoto akiitwa mchumba analia. Ck hizi ukimuita hivyo mtoto anachekelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom