Hapo zamani za kale palikuwa na nchi inaitwa Tanzania

Enzi za Mkapa 1998 Mwaka mmoja kabla Nyerere Hajafa...

....Illovo acquires a 55% stake in Kilombero Sugar Company Limited in Tanzania;

:mad::mad::mad:
 
Hapo zamani za kale, maamuzi 'madogomadogo' kama vile kuagiza sukari yalikuwa yanaidhinishwa na watawala wa Tanzania.

Hao Illovo 'udaku' unadai walikuwa third choice, baada ya kambi mbili 'nzito' kila moja kuwa na kampuni iliyopenda, hivyo kuamua 'tukose wote'.
 
Back
Top Bottom