Kulingana na mwenendo mzima wa nnji yetu tujalibu kupitia vichache.....kenye kichwa chako juu ya maisha ya mtanzania wa leo na yule wa miaka ya zamani.....#kibao sugu ft king kikii hapo zamani#sikiliza hili jisongi alafu tafakali uje utuimbie ubeti mmoja humu ndani tuutafakari na wakaribhisha waungwana.............kunduchi si nyuchi