Hapo vipi??

Wewe Boflo mjanja, unatuambia tuangalie michoro ya ukutani ili tupoteze concentration kwa huyo manzi sio?
 
attachment.php

Wa pili kutoka kulia anafanana Oprah.
 
kitu ninaona kwa wingi ni macelullite tu......hakuna kitu......
 
naona grafitti tu kwenye picha ya kwanza, ya pili hakuna ukuta
 
huo sio ukuta,ni bati la chuma limechorwa Grafitti,,,mwezi mtukufu huu,,,hata sijaona kitu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom