Elections 2010 Hapo TSJ (Kawe seat) so far matokeo ni hivi

Profesy

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
385
13
JK - 101
SLAA - 79

MBUNGE

MDEE - CHADEMA - 80
KIZIGHA - CCM - 79
MBATIA - NCCR - 4

DIWANI

CCM - 117
CHADEMA - 50
 
Jumla ya kura inanisumbua...Uraisi jumla 180.............ubunge jumla ni....163....Udiwani jumla ni...........167......

What is happening? Kuna kura zimeharibika au kuna ambao hawakupiga kura ya ubunge na udiwani?
 
kituo ya tsj - makumbusho Dar es Salaam.

hicho kituo waliopiga kura ni vijana wa usalama wa Taifa wana nyumba zao hapo walijengewa na mkapa flats....sasa you can imagine kama slaa anaweka ushindani kwenye kituo kinachotumiwa na watumishi/askari wa Ikulu.. hats else tells you about there loyalty to JK especially hawa wa ngazi za chini!!!

MoD naomba ruhusu thread moja kwa kila mkoa kwa ajili ya matokeo ...ili kila mwenye results apost kwenye mkoa husika ....
Naomba weka thread moja ya matokeo yaliyoidhinishwa na kutangazwa na NEC!!! OFFICIAL NEC RESULTS...
NA thread moja OFFICIAL RESULTS AS PER CHADEMA /CCM OR CUF

nI wazi haya tunayopost toka mikoani matokeo yakishakuwa official tutalinganisha ya vyama na NEC....haya yetu tutaweza kuyaondoa maana lazima along the way yatakuwa contraversial kwa watu wanaoweza ku mislead...
 
Jumla ya kura inanisumbua...Uraisi jumla 180.............ubunge jumla ni....163....Udiwani jumla ni...........167......

What is happening? Kuna kura zimeharibika au kuna ambao hawakupiga kura ya ubunge na udiwani?
labda wengine hawakujaza nafasi hizo zingine ninahisi. mi ndio hivyo nimepewa. OK?
 
hicho kituo waliopiga kura ni vijana wa usalama wa Taifa wana nyumba zao hapo walijengewa na mkapa flats....sasa you can imagine kama slaa anaweka ushindani kwenye kituo kinachotumiwa na watumishi/askari wa Ikulu.. hats else tells you about there loyalty to JK especially hawa wa ngazi za chini!!!

MoD naomba ruhusu thread moja kwa kila mkoa kwa ajili ya matokeo ...ili kila mwenye results apost kwenye mkoa husika ....
Naomba weka thread moja ya matokeo yaliyoidhinishwa na kutangazwa na NEC!!! OFFICIAL NEC RESULTS...
NA thread moja OFFICIAL RESULTS AS PER CHADEMA /CCM OR CUF

nI wazi haya tunayopost toka mikoani matokeo yakishakuwa official tutalinganisha ya vyama na NEC....haya yetu tutaweza kuyaondoa maana lazima along the way yatakuwa contraversial kwa watu wanaoweza ku mislead...

Good IDEA Phillemon
 
...Mwanza ni balaa. Lakini kwa wakiki Kawe Oysterbay wamemuibia Doctor...
well, nisingepoteza usingizi kwa eneo la Kawe Oysterbay. Oysterbay kwanza ni low-density area (quite possibly the lowest in the nation) ambapo hata kina Halima Mdee hawaku kampeni. Na wapiga kura ni the Dr. Shein's, the Warioba's, the Rugimbana's, henchmen and beneficiaries wa CCM, unategemea waipigie kura nani, TADEA? Waibe wasiibe Kawe is still in play for CHADEMA.

HALIMA MDEE kaa mkao wa kuapishwa.
 
Back
Top Bottom