Hapo nimekubali busara ya DR. SLAA

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
423746_390000784363218_100000598993002_1426749_214261591_n.jpg 423561_390002697696360_100000598993002_1426780_908398150_n.jpg
 
Dokta si katoka Vatikan mbona hajapokelewa kama Lipumba? au hana jipya?
 
Dokta si katoka Vatikan mbona hajapokelewa kama Lipumba? au hana jipya?
Bakwata na shura ya maimamu ndio iliandaa mapokezi ya Sheik Ibrahim jana na kuksababisha misikiti kukosa waumini na hata adhana zilikuwa hazisikiki.
 
Bakwata na shura ya maimamu ndio iliandaa mapokezi ya Sheik Ibrahim jana na kuksababisha misikiti kukosa waumini na hata adhana zilikuwa hazisikiki.

Unapowashika pazuri huwa wanaanza jazba, hapo ndipo nnapowapendea magwanda! Balozi wa Vatikan na ma baba (padre) wenzake hakwenda kumpokea?
 
Jk aliposemekana atakwenda kumpokea zikaanzishwa threads za kumponda hapa hapa JF lakini amekwenda Dr Slaa pongezi kibao. Hiyo ndio Tanzania kadri uijuavyo huwezi kujua tuko hapa kwa maslahi ya nani.
 
Bakwata na shura ya maimamu ndio iliandaa mapokezi ya Sheik Ibrahim jana na kuksababisha misikiti kukosa waumini na hata adhana zilikuwa hazisikiki.

Acha kuleta udini kwenye mambo ya kisiasa,tukizoea tabia hiyo itavuruga umoja wa watanzania kitu ambacho si kizuri kwa maendeleo ya taifa letu,kama huna hoja za msingi si lazima uchangie kaa kimya!
 
Hyo ndo siasa ya ukweli bila chuki bila hasma ushirikiano kwa kwenda mbele. Big up!.
 
Back
Top Bottom