Hapo napo mmeonewa???????waislam

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani, Joyce Ndalichako, alisema shule kumi bora zilizokuwa na watahiniwa kuanzia 40 na zaidi,ni

1. Uru Seminari (Kilimanjaro),
2. Marian Wasichana (Pwani),
3. St Francis (Mbeya)
4. Canossa (Dar es Salaam).
5. Msolwa (Morogoro),
6. Feza Wavulana (Dar es Salaam),
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro),
8. Abbey (Mtwara),
9. St Joseph’s Iterambogo (Kigoma)
10.Barbro - Johnson (Dar es Salaam).

Wanafunzi kumi bora kitaifa

1. Lucylight Mallya,(Marian),
2. Maria –Dorin Shayo (Marian),
3. Sherryen Mutoka wa Barbro - Johansson,
4. Diana Matabwa (St Francis)
5. Neema Kafwimi (St Francis)
6. Beatrice Issara (Mary Goreti)
7. Johnston Dedani (Ilboru)
8. Samwel Emmanuel (Moshi Technical)
9. Bertha Sanga (Marian)
10.Bernadetha Kalluvya (St Francis).

Shule kumi za mwisho zilizokuwa na watahiniwa 40 na zaidi ni

1. Changaa, 2. Kolo, 3. Kikore, 4. Hurui, 5. Thawi, zote kutoka Dodoma
6. Pande Darajani (Tanga),
7. Igawa (Morogoro),
8. Makata (Lindi),
9. Mbuyuni na 10. Naputa kutoka Mtwara.

ALHARAMAIN MKO WAPI?
 
Ingawa katika wanafunzi kumi bora sidhani Kama kuna muislamu, lakini si wanafunzi wa kiislamu wapo kwenye baadhi ya hizo shule zilizofanya vizuri?
 
Uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :clap2:Uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :clap2:islam, :clap2:uislam, :clap2:Uislam, :clap2:uislam,:clap2: uislam, uislam, :clap2:uislam, :clap2:Uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :clap2:uislam, :twitch:uislam: Hata nchi zinazoongozwa kiislam islam ni matatizo.
 
wamefaulu au wamefaulishwa (kupewa pepa)

Au wameiba mitihani ya mwisho (st. ndio zao) kwa kushirikiana na Nacte

Hayo nayo yazingatiwe...
 
usimkufuru MUNGU kaka, mafanikio yanaendana na utulivu wa akili . na utulivu wa akili unaendana na maisha bora .........................(MALIZIA)
 
wamefaulu au wamefaulishwa (kupewa pepa)

Au wameiba mitihani ya mwisho (st. ndio zao) kwa kushirikiana na Nacte

Hayo nayo yazingatiwe...

hakika, ndo maana watoto wamefanya vizuri katika islamic knowledge.
 
wamefaulu au wamefaulishwa (kupewa pepa)

Au wameiba mitihani ya mwisho (st. ndio zao) kwa kushirikiana na Nacte

Hayo nayo yazingatiwe...

Nacte ndo dhehebu gani?.kama ulitaka kumaanisha NECTA nadhani ni juzi dr ndalichako amewekwa kuongoza baraza hili kabla yake baraza likikuwa linaongozwa na Alhaj Nkumbi- yuleeeeeee wa pale Basihaya- tegeta, kwa hiyo naye alikuwa akipendelea shule za St na kufanya za islamic kuwa inferior?!, (na mawaziri؛‎ Alhaj juma athuman kapuya, alhaj prof magembe+ mwalim mwantumu mahiza+ prof dihenga-katibu, shukuru kawambwa et cetera na nchi yote inatawaliwa na waislam- rais+ vp+ rais wa zanzibar+ igp+ chief of staff+ secretary ministry of defence+ minister of home affairs)- yaani hawa woooooooote wameruhusu waislam wanyanyasike kielimu?!, yaani wasiowaislam wapewe pepa ili wawe na maksi za juu kuliko waislam?!-well, tufundishe elimu ahera kwa juhudi ili watoto wetu wamjue mora wetu zaidi, hii elimu dunia si muhimu......................................................
 
Back
Top Bottom