Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
it's getting interesting!
Hivi una define vipi 'uchungu', yaani 'grief' mfano unapofiwa na mtu wako wa karibu, ule uchungu wa ndani kabisaa yaani aaahh.. au wivu!!!...hivi bila roho/soul unaweza sikia uchungu, au wivu kweli?
sidhani hizo ni 'chemical' reactions katika mwili, au?