Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Bila roho hakuna uhai, kama roho iko fabricated basi kwa nini robot wasibreath as all organism created by God do?

Robot hawana uhai na hawa "breath"si kwa sababu hawana roho (mwanadamu pia hana roho) bali kwa sababu hawana cells wala respiratory system.

Bina damu wana uhai si kwa sababu wana roho (hawana) bali kwa sababu wana cells na respiratory system.

Hamna roho wala soul hapo.
 
  • Bila roho hakuna uhai, kama roho iko fabricated basi kwa nini robot wasibreath as all organism created by God do?

  • ...mfano; binadamu anaweza kuishi kwa (prosthetic device) moyo wa bandia, lakini sijawahi sikia binadamu anaishi bila ubongo!

    Kwa maoni yangu; roho ndio ubongo, maana mtu akiwa brain dead, ndio keshakufa huyo, labda kama anatumia mashine kupumulia!

    au unasemaje?
 
[*]...mfano; binadamu anaweza kuishi kwa (prosthetic device) moyo wa bandia, lakini sijawahi sikia binadamu anaishi bila ubongo!

[*]Kwa maoni yangu; roho ndio ubongo, maana mtu akiwa brain dead, ndio keshakufa huyo, labda kama anatumia mashine kupumulia!

[*]au unasemaje
[/LIST]

Mchongoma you nailed it,

Yaani ukiangalia vile vitu vyote inavyosingiziwa roho vinaweza kuelezewa ukisubstitute neno roho kwa organs nyingine kama ubongo au moyo.
 
[*]...mfano; binadamu anaweza kuishi kwa (prosthetic device) moyo wa bandia, lakini sijawahi sikia binadamu anaishi bila ubongo!

[*]Kwa maoni yangu; roho ndio ubongo, maana mtu akiwa brain dead, ndio keshakufa huyo, labda kama anatumia mashine kupumulia!

[*]au unasemaje
[/LIST]

i always think of that also, so the soul is in the brain and not in the heart, the main function of the heart is to pump oxygenated blood to the body and deoxygenated boold to the lungs. The main function of blood is to supply nutrients, water and oxygen to the brain.
 
Mama,

There is no soul, it is just a religion friendly euphimism for the brain and how the brain responds to stimuli and how the neurons process electrical activities.

There is this medieval idea kwamba unapokufa kuna hiki kitu kinaitwa soul/roho (hence kukata roho) kinakutoka mwilini na kinapaa kwenda heaven/hell/ purgatory etc.

Fairy tales.Hell heaven god soul, all fairy tales.
 
Robot hawana uhai na hawa "breath"si kwa sababu hawana roho (mwanadamu pia hana roho) bali kwa sababu hawana cells wala respiratory system.

Bina damu wana uhai si kwa sababu wana roho (hawana) bali kwa sababu wana cells na respiratory system.

Hamna roho wala soul hapo.

robot is like the state-of-the-art of man made organism which can function without having human cells (leave alone the clones). Respitarory system na cells binadamu wameshatengeneza walichoshindwa tu ni kuziwekea hizo vitu roho!
 
Kisayansi hakuna roho wala soul, ni fabrications tu.Kila kitu katika kiumbe hai ambacho kimesingizeiwa roho/soul kinaweza kuelezeka bila kuleta roho/soul.

The buddhist knew this years before the birth of Jesus on earth, along with the fact that there is no personal god.

You know, sometimes when i hear people talking about someone being brain dead, one difficulty question is triggered in my mind, and that is - what separates the 'alive but brain dead being' from its state of being dead? My sincere self comforting answer is always - The Soul. The inexplicable thing that i would love it to be with me forever!
 
Mama,

There is no soul, it is just a religion friendly euphimism for the brain and how the brain responds to stimuli and how the neurons process electrical activities.

you know what that is the soul, it is God's secret process, in religion they call it soul and you call how the brain responds to stimuli and how the neurons process electrical activities. See now, it is the same thing in different languages.
 
robot is like the state-of-the-art of man made organism which can function without having human cells (leave alone the clones). Respitarory system na cells binadamu wameshatengeneza walichoshindwa tu ni kuziwekea hizo vitu roho!

Walichoshindwa ni ku replicate ubongo na cells.Hamna roho hapo.
 
...Na nini source ya hizo nucleic acids?

Kama ambavyo maji yalijitengeneza yenyewe kwa mchanganyiko wa gesi ya kwanza (Hydrogen) na gesi ya nane (Oxygen), hivyo hivyo kemikali anuwai zilichanganyika hapo mwanzo halafu zikatokea nucleic acids.

Matofali ya ujenzi wa hizi nucleic acids yalikuwa nucleotides ambazo nazo pia zina matofali yake (bases) yaliyo jijenga hivyo kutoka viini vya msingi vingine.

Viini vya kikemia vya msingi (elements) vikikutuna vinaungana vyenyewe kutengeneza kitu kingine iwapo kitu kipya kitaongeza vurugu (entropy) kwa mujibu wa sheria za Themodynamics.
 
...haya, twende kwenye mimea;

ushawahi kusikia mmea wenye ubongo? mimi sijasikia!

Uhai wa mmea unatokana na nini? mbona na yenyewe inazaliwa (mbegu), inaishi kwa kutegemea mazingira (awareness), kisha inakufa...

swali linajirudia; Uhai ni nini???
 
You know, sometimes when i hear people talking about someone being brain dead, one difficulty question is triggered in my mind, and that is - what separates the 'alive but brain dead being' from its state of being dead? My sincere self comforting answer is always - The Soul. The inexplicable thing that i would love it to be with me forever!

Waht happens there is that the brain has stopped functioning and the soul is there, the soul works together with the brain and fueed by oxygen. So if Brains stops functioning and there is oxygen the soul can stand still, the miracle from God. Gods wants us to think about this egnima.
 
Kama ambavyo maji yalijitengeneza yenyewe kwa mchanganyiko wa gesi ya kwanza (Hydrogen) na gesi ya nane (Oxygen), hivyo hivyo kemikali anuwai zilichanganyika hapo mwanzo halafu zikatokea nucleic acids.

Matofali ya ujenzi wa hizi nucleic acids yalikuwa nucleotides ambazo nazo pia zina matofali yake (bases) yaliyo jijenga hivyo kutoka viini vya msingi vingine.

Viini vya kikemia vya msingi (elements) vikikutuna vinaungana kutengeneza kitu kingine iwapo kitu kipya kitaongeza vurugu (entropy) kwa mujibu wa sheria za Themodynamics.

Halafu Kuhani Mkuu bwana, lazima aandike Kiswahili eeenh, hamna KiswaKinge labda kwenye brackets tuu kuelezea zaidi unaambiwa.
 
...haya, twende kwenye mimea;

ushawahi kusikia mmea wenye ubongo? mimi sijasikia!

Uhai wa mmea unatokana na nini? mbona na yenyewe inazaliwa (mbegu), inaishi kwa kutegemea mazingira (awareness), kisha inakufa...

swali linajirudia; Uhai ni nini???

kila kumbe roho yake inakuwapo panapostahili. Je single celled organisms ambao si mimea uhai wao unatokana na nini?
 
...haya, twende kwenye mimea;

ushawahi kusikia mmea wenye ubongo? mimi sijasikia!

Uhai wa mmea unatokana na nini? mbona na yenyewe inazaliwa (mbegu), inaishi kwa kutegemea mazingira (awareness), kisha inakufa...

swali linajirudia; Uhai ni nini???

Tumeshadefine life hapo juu. Mmea una uhai kutokana na kuwa na cells zenye uhai.Hamna roho hapo.

Basi kwa taarifa yako watu wa Judeo-Christian doctrine hawaamini kama mmea una soul/roho.Which is defeating the whole argument kwamba the soul/roho is the seat of life, kwa sababu mmea una life bila kuwa na roho according to them.
 
Kama ambavyo maji yalijitengeneza yenyewe kwa mchanganyiko wa gesi ya kwanza (Hydrogen) na gesi ya nane (Oxygen), hivyo hivyo kemikali anuwai zilichanganyika hapo mwanzo halafu zikatokea nucleic acids.

Matofali ya ujenzi wa hizi nucleic acids yalikuwa nucleotides ambazo nazo pia zina matofali yake (bases) yaliyo jijenga hivyo kutoka viini vya msingi vingine.

Viini vya kikemia vya msingi (elements) vikikutuna vinaungana kutengeneza kitu kingine iwapo kitu kipya kitaongeza vurugu (entropy) kwa mujibu wa sheria za Themodynamics.

Vitu vyote hapa duniani vinajitengeneza kwa nguvu za Mungu, yawe maji au jua, je inakuwaje gas zinazotengeneza jua zisiishe na jua linakuwepo miaka nenda miaka rudi wala halibadili position kwenda kushoto, kulia, juu au chini, na halihami hapo? kwa nini dunia na mwezi vizunguke jua na isiwe the opposite hata siku moja?
 
Uhai unatokana na characteristics za nucleic acids, hususan DNA na RNA.

na RNA zipo za aina nyingi, hazifanani kwa viumbe wote, nani kawapa hawa viumbe RNA zinazotofautiana kwa kiasi au ubora? Lazima yupo anayecontrol kila kitu naye ni Mungu. Hata server lazima iwe na admin bila hivyo iko siku itacollapse.
 
Tumeshadefine life hapo juu. Mmea una uhai kutokana na kuwa na cells zenye uhai.Hamna roho hapo.

Basi kwa taarifa yako watu wa Judeo-Christian doctrine hawaamini kama mmea una soul/roho.Which is defeating the whole argument kwamba the soul/roho is the seat of life, kwa sababu mmea una life bila kuwa na roho according to them.

Tuseme mmea roho yake iko kwenye cholorophyll au kama hauna chlorophyll basi roho iko kwenye pigment ingine, iwe phaeophytin etc. Na kuhusu dini kila watu wa dini wanaamini kivyao, wako wanaomini jua ndilo linaleta uhai, wengine wanaamin ng'ombe na wengine mawe. Lakini origin of life ni Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom